Search results

  1. B

    Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    ugonjwa wa fizi ni complex sana,usichukue kimzaha,kupiga mswaki waweza kuwa unafanya hivyo in wrong way or technigue is wrong with wrong tooth brush hata kama utafanya mara kumi kwa siku bila maelekezo ya kilaalamu utaambulia meno mwisho wake kulegea na kuanguka.ugaga unatolewa na dentist na sio...
  2. B

    Mwanamke mjamzito kupata kichefuchefu na kutapika: Chanzo na tiba yake

    Ushauri wa bure ,ni vizuri afike kituo cha tiba aonane na doctor,kutapika kwake kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya kumshauri chakula gani apite navyo kwa kipindi hicho cha miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito wake.
  3. B

    CUF kwa nini tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

    poleni CUF,lakini fanyeni utafiti wa kina yaani ktaalamu kwanza lakini lililo wazi mko upande wa utawala pia someni nyakati.wananchi wanahitaji yale ya arobaini na saba? badilisheni mwendo wenu
  4. B

    Elections 2010 Magufuli atoa rushwa kuisaidia CCM Igunga

    hivi huko ni kuwachezea watanzania na wanaigunga leo bajeti gani utaitoa wakati miradi mingi imekwama kwa kukosa pesa udanganyifu kweupe na kuapa haki ya mungu wewe magufuli mungu gani huyo wakati ofisi hazina pesa ukapate za daraja la miaka hamsini,hatwapi kula ccm na apa labda muibe bado...
  5. B

    RAIA MWEMA: SIRI za Lowassa, Msekwa, nje nje... Ni kikao chao cha faragha Lumumba

    enajua magamba mengine ni magumu ,yaani ni lazima utumie maji ya moto ndipo gamba liondoke na ikishidikana chuna kabisa ,sasa tatizo ccm nyezo za kukoka moto ajili ya kuchemcha maji hawana na hata kunyoa visu vimebaki butu so hadi mdudu awfie biscuit
  6. B

    Stand ya basi dodoma ni aibu

    :A S-baby:nashanga kuona mji ambao ni makao makuu ya nchi,mji ambao bunge la nchi linafanyia vikao vyake pale sitand ya basi kuwa kama ile ,hata kama wanampango wa kuhama inawachukua muda gani ni aibu tena nasema ni aibu sehemu ni ndogo, haina mpangilio mzuri,watu wanapika vyakula kwa...
Back
Top Bottom