Search results

  1. M

    Wapinzani wa kibongo

    haina mvutoo hy we ulitaka waungane na kina nan najua U CDM tuu ndo unautana mtawaita sana tu CCM B maana wameona hkn pa kukimbiliaaa
  2. M

    CDM kususa kwenu bado hakujaisha?

    hawa chadema mie hata sielewi wana ajenda gani ya siri maana sio wazalendoo kabisa hawazitambua siku za kitaifaaa wao ni kgomaa tu kama wana uchngu na nchii mbona posho za mjengoni hawagomi kupokea ili ziende zikasaidie wananchii na matatizo mbalimbali hawa ni wasaniii jaman tuwaepuke kama ukomaaa
  3. M

    Kwanini Lowassa anatolewa Sadaka?

    usipozungumzia CCM utazungumzia nini sasa wakati ndicho chama kongwe,dumee yan ukigusa CCM tuu ama chochotee yawe maswala ya kiuchumi,kiutamaduni, na kisiasaa CCM haiepukikiii aiseee,poreee alaf tangiapo ni maarufu sanaaa tuu si ajabu hata kabla ujazaliwa enzi za babu zakoo na hata kikitoka leo...
  4. M

    Chiligati hana sifa za uongozi - Diwani CCM

    yan kuna watu humu JF sijui wanatumwa yan kazi yao ni kutunga story na kubandikaaa hewani kumbe ni uwongoo hii mara ya tatu sasa kwa uzoefu wangu wt wana post vitu vya kizushii tuwe waungwana jaman chuki zitatupeleka pabayaa.
  5. M

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    Mukama mtu safi banaa mnyonge tumnyongee lakini haki yk tumpatie,wabongo kwa kupondaaa,hz point kwenye hy unayoiita profilee umezidiwa hoja aisee very week
Back
Top Bottom