Search results

  1. kamanda mbigi

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mikoani lini shughuli inaanza bwana Ontario.....? Au dar kwanza
  2. kamanda mbigi

    Madai ya kuondoa CCTV Camera: Wahusika mpaka sasa wameshindwa kutoa ufafanuzi wala kukanusha

    Kuna mtu alikua amerekodi video wakati wa tukio na alikua ghorofa la pembeni.....subirini muda ufike
  3. kamanda mbigi

    IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

    IGP yupo busy na mange kimambi....lakini alishasema hali ni shwari kabisa.
  4. kamanda mbigi

    Ijue Botswana japo kidogo tu

    Namba 5 hata dada zetu wanaotoka kule kwenye mlima mrefu wanazo hizo sifa.
  5. kamanda mbigi

    Uume unatakiwa usimame mara ngapi kwa siku?

    Huwe na mazoea ya kuangalia blue mara kwa mara
  6. kamanda mbigi

    CHADEMA: Tutakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari Kesho

    Lumumba kesho kwao ni off day basi watakua na kazi moja tu.......
  7. kamanda mbigi

    DC Kilolo: Mwanafunzi atakayepata mimba hatutamrudisha nyumbani

    DC mpumbafu sana huyo.....ukute hata mgumba maana sio kwa povu hilo.
  8. kamanda mbigi

    Pius Msekwa: Suala la kuongeza miaka 7 halikubaliki, Labda iwe Minne

    Mwenzie mwandosya alijidai kuanza kuandika ukosoaji jana kapewa cheo kafungwa mdomo......msekwa subiri upewe cheo na wewe ndio uje uulizwe miaka 7 au 4 unapenda ipi....
  9. kamanda mbigi

    Uchumi wa Nchi Unazidi Kudidimia, Thamani ya Shilingi Yashuka, Mfumuko wa Bei Wapanda

    Lumumba njooni tuanze kutukana hapa.....mie nshajiunga na bando tayari
  10. kamanda mbigi

    Je, ni njia gani inatumika kusafisha tumbo?

    Sasa aache kula na hapo hapo unasema ashindie matunda.....
  11. kamanda mbigi

    Buku 10 ilivyorudisha heshima mitaani wakuu!

    10,000 nakunywa castle 4 tu sasa heshima ipi imerudi
  12. kamanda mbigi

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Raila kajua kabisa hawezi kutoboa kwa upuuzi alioonesha .
Back
Top Bottom