Search results

  1. M

    Kumbe marando ndo katibu mwenezi wa chadema?

    Eti kwanini unadhani anapoteza umaarufu? na uongo uko wapi? ebu tafadhali niambie kaongea uongo gani?
  2. M

    Samwel Sitta, Harison Mwakyembe, Bernard Membe: Huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote

    Hili nalo neno...na kwa mara nyingine Lowassa akambana Sitta kuukosa U-spika
  3. M

    Kwa hili naamini kwa dhati Dr. Slaa hakuonyesha ukomavu wa kisiasa

    hivi hizi analysis mnazifanyaje? kwamba kawaimalisha? 1. Inazidi kuprove kuwa CCM hawawezi kuendelea bila Mafisadi, ndio wano-control chama 2. wananchi watazidi kuvunja Imani na CCM, manake na mbwebwe zote za siku 90, wao wenyewe wanapingana 3. tatizo kubwa la umaskin ni ufisadi, Mnyonge gani...
  4. M

    Yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM 30.04.2011

    Naomba mtoa hoja anipe majibu/maelezo ya vitu yafuatayo 1. Kuna uhusiano gani wa Kununua Gari bovu na Ufisadi? 2. Je wangenunua Jipya could it prove usafi wao? 3. Ni Mtanzania Gani ane nunua Gari jipya zaidi ya Serikali? sasa Chademakutaka kununua Magari 2nd Hand ni kosa gani na linauhusiano...
  5. M

    Sitaki kuidhulumu nchi yangu, kamwe sitojiunga na CHADEMA chini ya uongozi huu

    Umetumwa? kwani Lazima Ujiunge? kwenda zako, kama hautaki si uache tu, watu wengine banah
  6. M

    Sura na Picha ya CHADEMA

    Mlimtuma Shibuda tumemtumua, eti LUXURY basi, una Luxury gani wewe? na Magamba yenu waone, eti Mnasimama mnasema hamjawapa siku 90 na hamna list, Luxury My foot
  7. M

    Rais Kikwete: Tukatae madikteta Katiba Mpya

    kayasema wapi haya?
  8. M

    Dr. Hussein Mwinyi kugombea Urais wa Tanzania 2015?

    Kapewa wizara inamzingua, aje apewe Uraisi? na Udini wao kama kivili cha siku hizi/ aendee mbali huko, But, nadhani CCM watakuwa wapuuzi wakimuweka Mwinyi kupambana na Slaa :A S 39:
Back
Top Bottom