Search results

  1. SIERA

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Kama bile Mungu yesu alivyoshindwa kujiokoa akapigwa na watu alowaumba mwenyewe na kilio juu alilia[emoji419][emoji1787][emoji419][emoji23][emoji23] haya ni maajabu jamani!! Yasni uache kushangaa mungu yesu ukashangae waislam mzima kweli wewe!!!
  2. SIERA

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Sasa wao wanashindwa kuwauliza wapangaji wao?! Mbona ni jambo dogo tu?!!
  3. SIERA

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Makosa gani ya ajabu alifanya!!? Mbona mnapenda kuhukumu watu kwa vitu vidogo sanaaa?!! Zile ni siasa kama siasa zingine tu yeye sio wa kwanza wala wa mwisho.. Bashe alimtukana kikwete waziwazi bado kuna kina chalamila yeye tena alisema Makamo anaweza kua mchawi akamroga Rais hapo unahisi...
  4. SIERA

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Kivipi?!!! [emoji38][emoji38][emoji38] hivi wewe ulikuwepo wakati mkapa anagombea u Rais unajua alichuana na nani?!!! Na alikua wa ngapi baada ya mkapa?!! Itakua ulizaliwa juziii.. LOWASSA ZAIDI YA URAFIKI WAO NA KIKWETE HAKUMSAIDIA KUA RAIS, kikwete nyota yake ilishang’aaa hakukua wa...
  5. SIERA

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Weeh!!! Itakua umezaliwa juzi!! Mbona alizaa na mdogo wa mke wake yaani shemeji yake
  6. SIERA

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Kwani JK kosa lake ni lipi?! Kutompa kugombea u Rais au kuna jingine?!!
  7. SIERA

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    Kwani katiba inasemaje kuhusu matibabu ya hao viongozi wa juu?!! Ni huruma ya Rais?! So bira Rais lowasa ilikua atoe pesa mfukoni mwake?!!! Na wao hawana pesa!???
  8. SIERA

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Wanae wapo huko wakaamua kumchukua baba yao
  9. SIERA

    Nilichokiona jana msibani hapana Arusha kinatisha

    Arusha January to December mnavaa makoti ya baridi ?!
  10. SIERA

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Haya kashasema na mama yako
  11. SIERA

    Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Bora unavyoweka namba utapata uteuzi soon , si Kwa kujituma huko [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. SIERA

    DP World itaondoka na wangapi? Njia inayotumika sasa unayoitumia itakuharibia vibaya, si wewe tu na chama chako pia

    Kwani sio mzanzibar?! Mbona mwenyewe Kila siku anajisema !!!
  13. SIERA

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wapo wengi tu hata watoto wa 5 .. kua chuchu saa 6 na majaaliwa tu Kama matako
  14. SIERA

    Tanzania nchi ya ajabu. Mambo mazito kaongea Rais Samia ila nchi kimya

    Sasa sisi tufanyeje kama yeye mwenye mamlaka analalamika?! Maswali mengine bwana!!!!
  15. SIERA

    Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Saa unanunua milioni 4[emoji23][emoji23] unafaidika nini huwo nao ni ujinga niliona
Back
Top Bottom