Search results

  1. K

    antilipemic tea

    nipigie 0754691482 utapata ninayo
  2. K

    Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

    Pamoja na juhudi nzuri za kujitetea kwa ndugu zangu waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Uislamu kwa sasa umepoteza mvuto kwani ndiyo ulitufikisha hapa tulipoooooo!!!! Ikumbukwe kuwa swala la juhudi za kuuneza uislamu umejimaliza wenyewe, hakuna mtu tena aliye mkristo ama mpagani...
  3. K

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Mimi najiuliza swali, katika kuran tukufu haizungumzii ubaguzi wa kijinga naman hii, sasa haya yanatoka wapi? Je ni kale ka ujira kadogo baada ya kuchinja ama ni kule kutimiza ibada yao? na kama ndo hivyo, kweli mtu anategemea kuishi kwa ujira wa kuchinja wanyama tena kwa kudoea!! ooh my God...
  4. K

    Udini wamtisha JK; Amtuma Wassira kusuluhisha Waislamu, Wakristo...

    Hicho Ki -ndikilo kikataeni kuwepo hapa mwanza yetu ya amani aende huko chake chake akajikombe zaidi!!!!
  5. K

    Udini wamtisha JK; Amtuma Wassira kusuluhisha Waislamu, Wakristo...

    kwanza awali ya yote, waumini wa dini zote watoe sharti la kumkataa mkuu wa mkoa ili ajue kweli tumechukia na umbumbu wake. mkataeni huyoooooooo!!!!
  6. K

    Je, Hili si Tamko tata kwa RC Mwanza?

    Hiki ki-enginer fake, mmekikawiza tu, mimi nasema hatumtaki tena kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza aende zake huko anakojikombea. TOKA NDIKILO NASEMA TOKA TENA TOKA haraka sana la sivyo nguvu ya wapenda amani na umoja wa kitaifa itakuondoa mara moja. Tokaaaaaaaaaaaa!!!!
  7. K

    Je, Hili si Tamko tata kwa RC Mwanza?

    Huyu bwana ndikilo, kwa kweli amepotoka pakubwa sana! na nijuavyo mimi huo ndo mwisho wake kwani amegusa mboni ya jicho la Mungu aliye hai. Nyie subirini tu kwisha habari yake huyo!
  8. K

    Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

    Irene tokaaaaa tena ushindwe kwa jina la Yesu! Mimi napata kichefu chefu kusikia hata jina lake! hatumtaki jamani sisi!!!
  9. K

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    wewe umetumwa eee? pishilia mbali kabisaaaaaa!! Hata sisi wa pembezoni tumeipata hiyo na tutaitumia kuwakataa magamba wote iwe, udiwani, ubunge ama urais enough is enough magamba to lead us!! Liwalo na liwe
  10. K

    Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

    Ninachokifahamu mimi yule kihiyo wa kiagata hana integrity yoyote bali anatumia hasira za jando lao. Tusipokuwa makini kwenye kataiba ijayo atawatukana wabunge makini na kulazimisha mambo yasiyo na tija kwa Taifa hili. Kimsingi hatuna AG bali ni mzee wa kutoa matusi tu!!!
  11. K

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Jamani hapa wafanyakazi tuungane kwa ngivu zote na HLRC kuiburuza serikali mahakamani!! sitaki hicho kitu nasema tena sikitaki haijarishi RiZ ameisaini hiyo sheria fake kama ilivyo ada yake!! Wafanyakazi tuungane katika hili maana ni kiama juu ya kiama!!
  12. K

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Bugando atimuliwa kazi...

    My God! Huyu jamaa inafaa awe kehsfukuzwa miaka 47niliyopita ni kibaraka wa majungu na mnoko kuliko maelezo. Wakatoliki fukuzieni huyo mbali kabisaaaa, kwani kaifanya hospitali ya kijiweni kabisaaa
  13. K

    RE: Ufisadi Hela za Benki ya Dunia Wizara ya Maji

    Mimi yangu macho.Kama bado wasubiri maji ya wizara basi wewe anza kuumwa matumbo tayari. Hii ni sirikali hakuna ajuaye.
  14. K

    Mkurugenzi wa Maji mwenye Kesi ya Wizi na Ubadhirifu Anaendelea na Kazi

    HE HE HE SI yule RWETABULA ? Tena nim kihiyo kweli kweli!!!
  15. K

    Mkurugenzi wa Maji mwenye Kesi ya Wizi na Ubadhirifu Anaendelea na Kazi

    Wewe una shangaa ya mkurugenzi wa moshi? Mbona yule wa mwanza alipofanya wizi mkubwa na kesi yake kupelekwa polisi aliteuliwa chapu chapu kuwa kibosile wa wizara ya maji!!! mimi nadhani sirikali hii ni ya kuondoa tu yote!! Kwani hata wizara ya maji mambo ni kama ya mkuchika tu wizi ni kama...
  16. K

    Mbunge wa Chadema yuko India kwa matibabu

    Ee MUNGU mponye mpambanaji na mkombozi wetu. Kwani ndiye aliyetufanya Igunga tushinde japo magamba walijichukulia maamuzi ila ni kwa muda tu, 2015 walie tu
  17. K

    Matokeo kidato cha nne yamechakachuliwa

    Looh! kama ndo hivyo, mie naanza safari ya kuhamia Darfu kuanza maisha mapya kwani hii sasa basi!!!
  18. K

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    Ninachojua mimi bugando wana gomea mambo mengi, Mkurugenzi wake ni noma ile mbaya sijapata kuona mtu wa naman hii
  19. K

    Matokeo ya kidato cha pili

    yanapatikana ofisi ya mkaguzi elimu wa kanda
Back
Top Bottom