Search results

  1. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Waliamini kwamba wazee wa kirusi ndo walokuwa wakimuunga mkono Putin kwa wingi lakini pale Red Square ni vijana wengi sana wamejitokeza na ndo wanomuunga mkono hata kwenye sanduku la kura. Hali imekuwa tofauti sana na matarajio ya wahasimu wa Russia. Tatizo kubwa ni kwamba Putin atakuwepo kwa...
  2. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    NATO wana wanajeshi wa kutosha Ukraine na Putin kasema jana kuhusu hilo. Kasema wanawasikia wakizungumza kifaransa na kiingereza barabara hivyo Russia wafahamu kuwa mamluki wapo uwanja wa vita. Na akasema hata kama wapo Ukraine kwa shughuli zisizohusu kutumia silaha na kupigana lakini hiyo ni...
  3. Richard

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Sawa mkuu, haya kale chele na nyama. :)
  4. Richard

    Lema asema tuwaache Wamarekani wawepe watoto chakula, asema yeye haoni shida

    Mie hupata mchele kutoka shambani Usangu huko au Kilombero. Au pale Kisutu/ Kariakoo au Magomeni nina wauzaji wangu maalum.
  5. Richard

    Lema asema tuwaache Wamarekani wawepe watoto chakula, asema yeye haoni shida

    Mchele tayari umo kwenye food chain. Si ajabu Lema kaula huo wali nyama. Amevimbiwa ndo kaandika hayo.
  6. Richard

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Ukiula ule mchele wenye virutubisho kwa nyama (wali nyama) na ukashiba hiyo tu ni dose ya tatu maana kuna chanjo na kuna dawa ingine ya malaria imeingia kazini. Waafrika tuna hali mbaya upstairs.
  7. Richard

    Niger yasitisha ushirikiano wake na Marekani kwasababu ya athari za haraka

    Kuna tabia moja hivi hawa wenzetu wanayo ambayo huitwa "condescending", si tabia njema sana kwa ulimwengu wa sasa. Wamekuwa wakiwakalia kooni Niger na kuwalazimisha kuchagua washirika wakati Niger ni nchi huru yenye uwezo wa kujiamulia mambo yake. Marekani bado yafanya mabo yake huku imeziba...
  8. Richard

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    C'moon wadhani alikuwa hafahamu kweli? Ni uchu wa madaraka ulikuwa katika "despetare state". Ni pale usemapo kuna vita katika viambaza vya utawala, "desperate measures in desperate times". Na si kwambani yeyeapewe sifa kwa kutuliza hali bali ni kufikia muafaka baina ya makundi mawili yenye...
  9. Richard

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Hakuwa na chagua tayari alikuwa na chaguo lake lakini akashauriwa ( na kwa kutofahamu hila akakubali) na badala yake akawa Sa100. Haya mambo hayahitaji Phd kuyadadavua ni kuunganisha dots tu. Hivyo akiwa hoi akaona nchi yarudi kulekule na kwa kutaka kuyaendeleza aloyaanza akasahau kwamba kuna...
  10. Richard

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Lakini umesahau JPM alisema yeye alimtaka nani awe makamu ( na sio Sa100) wake na alisema hiyo ilikuwa ni siri ila msukuma akaisema hadharani.
  11. Richard

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Ni kweli kabisa angeongea na watu wa TBS wakaupima mchele hata usiku wa manane na asubuhi wakatoa taarifa. Mchele tayari upo kwenye "food chain" watu washapiga beche na Shaba sie twazungumzia matokeo.
  12. Richard

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Sikiliza tena alokisema Mabeyo ametumia misamiati kadhaa kukujulisha ni nani walikuwa wasimamizi wa shughuli nzima. Yeye alibaki kama mtazamaji au tuseme mwamuzi wa mpira au VAR.
  13. Richard

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Wataka kusema Sa100 alikwenda Tanga na kukaa kule bila kufahamu kinoendelea?
  14. Richard

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    Biashara ya usafiri ikipangwa uzuri na kuwa na mfumo bora ni biashara nzuri sana yenye kutoa ajira za aina zote na kuvutia vipaji vyote. Kwa jiji pekee la Dar biashara ya usafiri wa mfumo mmoja ingepunguza tatizo la ajira. Pia mfumo ukiwa thabiti unaondoa daladala na kunakuwa na njia maalum za...
  15. Richard

    Rais Samia akutana na Mama Fatma Karume

    Kuna kitu nilitaka kusema lakini naona niweke akiba ya maneno. Kituo kinofuata kiwe Bumbwini alipozaliwa bibi Fatma.
  16. Richard

    Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

    Nakumbuka mwaka 2007 nilikupa jina la "Pascal The comedian". Ni miaka 17 hiyo imepita nilipokupa jina hilo bado weye watuonesha kuwa kweli ni comedian. Kuna kipindi huwa warudi kwenye mstari lakini ukitoka tu nje ya mstari warudia theatre of comedy.
  17. Richard

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Nimesahau kusema hayo ni ya shehe Kipozeo. :)
Back
Top Bottom