Search results

  1. Kyatile

    Ni wakati wa kumwambia rais ukweli kuwa taifa letu halitajengwa na Wazungu, Wachina wala Waarabu bali watanzania wenyewe

    Wakuu, Kuna imani kuwa Watanzania hawatuwezi kujiendeleza wenyewe na ni viongozi wetu wanatuaminisha hivyo. Matokeo yake mama anatumia muda mwingi nchi za nje kuliko kuifahamu nchi yake. Kinachoendelea ofisi za uma ni vituko na hizo taarifa hawawezi kumpelekea. Ukweli ni kuwa hao wazungu na...
  2. Kyatile

    Elimu ya msingi na sekondari inahitaji kubinafsishwa ili iwe na ufanisi

    Katika miaka hii ya karibuni tunashuhudia shule binafsi zikifanya vizuri sana katika mitihani ya taifa kuliko shule za serikali. Serikali inajitahidi kupeleka walimu mashuleni, kujenga madarasa pamoja na miundombinu nyingine. Lakini usimamizi wa pesa hii inayopelekwa ni mdogo sana. Pia...
  3. Kyatile

    Nani mmiliki wa Azania Bank Tanzania

    Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania?
  4. Kyatile

    Kupanda kwa bei ya mafuta ni udhihirisho kuwa nishati ya umeme lazima itumike katika usafirishaji

    Nishati ya umeme inatumika katika treni na magari. Awamu iliyopita iliona umuhimu wa sisi kuwa na reli ya treni zinazotumia umeme katika kusafirisha watu na mizigo. Wengi wenye uono mdogo wa mawazo walibeza sana treni za umeme ila sasa wataanza kuelewa. Pamoja na kuanzisha miradi mipya lakini...
  5. Kyatile

    Kuna nini katika soko la programming na TEHAMA Tanzania?

    Kila siku tunasikia wimbo kwamba TEHAMA tuko nyuma, tunahitaji wataalamu. Tunaona serikali ikihama kutoka kwenye paper files kuelekea kwenye mfumo wa mtandao; kuanzia malipo, maombi ya ajira, maombi ya vyuo, usajiri wa wanafunzi wa shule nk. Lakini cha ajabu vijana wengi wanaomaliza wanakosa...
  6. Kyatile

    Which is which? Flagship za miaka 2/3 nyuma vs midrange mpya

    Kumekuwa na katabia fulani ka kusubiri flagship zilizotolewa miaka 2 au 3 nyuma zishuke bei zifikie bei ambayo ni affordable ndipo mtu anunue. Hili linakuja na changomoto kadhaa. Kwa mfano flagships za miaka 2/3 nyuma kwa asilimia kubwa zinakuwa used mfano samsung s10 au note 10, note 9 na kwa...
  7. Kyatile

    Tuelimishane namna ya kununua simu mpya but a midrange

    Salaamu, Nikiri kwamba kuna changamoto katika kujua simu gani bora ya kununua kwa ajili ya matumizi yako. Changamoto hizi zinatokana na sababu kadhaa, mfano; 1. Uwepo wa kampuni nyingi zinazotengeneza simu. 2. Uwepo wa matoleo mengi ya simu kutoka kampuni moja ndani ya mwaka mmoja. Mfano...
  8. Kyatile

    Samsung Galaxy S8+ katika mwaka wa 2022

    Wakuu, Nimekuwa nikitafiti kujua simu gani ya Samsung naweza kuipata kwa bajeti ya sh 500,000/- nikaona kwa kiasi hicho naweza kupata Samsung Galaxy A22 au Samsung Galaxy S8+ ya mwaka 2017. Katika simu nimekuwa nahitaji features zifuatazo; (i) A kioo angavu chenye resolution nzuri. (ii)...
  9. Kyatile

    Motokeo darasa la saba kulikoni? Mbona yamecheleweshwa?

    Ndugu wanaJF, Tumezoea baada ya mitihani ya darasa la saba inachukua mwezi mmoja matokeo kutoka. Lakini mwaka huu matokeo yamezidi kiasi hicho cha muda na hakuna tetesi. Kwa kuwa JF ni sehemu iyosheheni watu wenye taarifa mbalimbali naomba niulize, matokeo yanategemewa kutoka lini? Najua humu...
  10. Kyatile

    Hili si shwari kabisa kwa Tanzania. Idadi ya wanaokufa ni kubwa ukilinganisha na uwiano wa wagonjwa

    Makali ya Covid-19 kuua wagonjwa hapa Tanzania ni makubwa kuliko ilivyo hata kwa wenzetu. Idadi ya watu 3 waliokufa kati ya wagonjwa 32 waliopo ni kubwa. Kimahesabu ni asilimia 9.375 ya wagonjwa walioripotiwa hapa nchini tena hapo tumewajumuisha na Zanzibar ambao kwao bado hajafa hata mgonjwa...
  11. Kyatile

    Kwa wenye malengo ya kuongeza maarifa na ujuzi katika mwaka 2020 pitia hapa

    Heri ya mwaka mpya kwenu nyote. Katika mambo mengi ambayo nimefanya kibiashara na kikazi (maana nimeajiriwa pia) mengi nimejikuta nikifail, hasa katika biashara kwa sababu ya kukosa ujuzi na maarifa sahihi. Sasa nimeazimia mwaka huu kujiongezea maarifa hasa katika eneo la biashara. Najua watu...
  12. Kyatile

    Web page yenye details kuhusu UDOM, MSc in computer science haifunguki, je huko kwenye computer science mnafundisha nini?

    Chuo hakiwezi kucreate fast web page yenye kuzungumzia Masters program zinazofundishwa hapo chuo, hivi kweli mtaweza kufundisha masomo kama vile Advanced object oriented programming au Artificial intelligence, au human-computer interaction? Mnafundishaje hayo kama Java Script, Php, na mambo...
  13. Kyatile

    UDSM COICT- Je, course ya PGD in Scientific Computing inaweza kum-bridge mtu mwenye BSc. Education (Mathematics and Chemistry)?

    Nianze kwanza kwa kueleza kuwa nimekuwa na passion kubwa ya kujifunza programming tangu nilipomaliza kidato cha sita . Hivyo basi nikaamua kujiunga na course ya bsc Software engineering ambayo niliishia kusoma semister moja tu baadae nika-abscond chuo kwa sababu ya kukosa ada. Niliporudi...
  14. Kyatile

    Ushuhuda: Wasichana wanaouthamini usichana wao na kujitunza wapo aisee!

    Nilimpata mpenzi mwaka 2016 mwezi wa 4. Binti ana miaka 23, mzuri ameumbika haswaaa. Yaani shape, rangi ya ngozi, macho, sura na miguu ametengenezwa haswaa. Unaweza dhani wakati anatengenezwa labda Mungu alikuwa katika utulivu wa hali juu kuliko kawaida. Sasa mahusiano yetu yaliendelea, baadae...
  15. Kyatile

    FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

    Nimefanya Forex tangu November 2017 na broker niliyekuwa nikimtumia ni JP markets. Lakini kwa sasa JP markets wamekuwa na changamoto mbalimbali zikiwepo changamoto za kutokuwa na mobile depositing na withdrawal services. Lakini pia wamekuwa na charges nyingi nk. Sasa nataka nibadilishe broker...
  16. Kyatile

    Kwa 220,000 naweza kupata simu gani nzuri?

    Kama kichwa cha habari kilivyo, Nahitaji simu isiyozidi sh 220,000. Ni simu gani mpya (tecno, infinix, huawei au bland nyingine) naweza kuipata kwa pesa hiyo dukani?
  17. Kyatile

    Je kitaalamu inaruhusiwa kujamiiana na mjamzito, mimba ikiwa na ukubwa gani?

    Kama mada ilivyo nahitaji kufahamu ni muda gani unafaa kujamiiana na ni muda gani haufai wakati mwanamke anapokuwa na mimba? Na je kuna madhara yoyote kwa mama au mtoto, mama mjamzito anapofanya tendo la ndoa?
  18. Kyatile

    Kwa sasa hakuna njia zaidi ya mahabusu kwa wapinzani wote.

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa naunga mkono kitendo cha kuendelea kuwafunga wapinzani. Hii ndiyo njia pekee iliyobaki kuwajengea wapinzani wa serikali ujasiri na ukomavu na kujiamini. Mapambano mengi yamekuwa yakikwama kwa sababu ya hofu ya kukamatwa na polisi na kufungwa, mfano halisi ni...
  19. Kyatile

    Kwa sasa hakuna njia zaidi ya mahabusu kwa wapinzani wote.

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa naunga mkono kitendo cha kuendelea kuwafunga wapinzani. Hii ndiyo njia pekee iliyobaki kuwajengea wapinzani wa serikali ujasiri na ukomavu na kujiamini. Mapambano mengi yamekuwa yakikwama kwa sababu ya hofu ya kukamatwa na polisi na kufungwa, mfano halisi ni...
  20. Kyatile

    ACT ya Zitto ikiungana na CHADEMA CCM watapata shida sana.

    Katika siku za karibuni inaonekana uhusiano kati ya mh. Zitto Kabwe na Mwk wa CHADEMA mbowe unaanza kurudi. Uhusiano huu ukiimarika kiasi cha kuungana na CHADEMA katika harakati za kisiasa utakuwa mwiba kwa CCM. Na hizi ni baadhi ya sababu kutokana na radha safi inayopatikana kwa ACT kuungana...
Back
Top Bottom