Search results

  1. Kyatile

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Hapa umeandika kama mjinga fulani
  2. Kyatile

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Habari ya kubenea huijui alafu unasema hajajibu hoja. Tanzania wajinga ni wengi aisee
  3. Kyatile

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Wewe ndiye hufahamu lolote kuhusu ubia maana haujaeleza chochote kuhusu maana ya ubia
  4. Kyatile

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kuna hawa watu hasa instagram wanadai wanaunga bandle GB 30 kwa 15k mitandao mbali mbali. Je ni kweli wana uwezo huo
  5. Kyatile

    Makonda atembelea maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jijini Arusha

    Na wewe unaangalia na kusemea mataka ya mwanaume? Aisee dunia inaenda kasi
  6. Kyatile

    USHAURI kwa Makonda na kampuni za utalii namna ya kukuza utalii jijini Arusha

    Ukishikilia mabaya tu utaumia wakati wenzako wanasonga mbele.
  7. Kyatile

    USHAURI kwa Makonda na kampuni za utalii namna ya kukuza utalii jijini Arusha

    Akili yako inaona haiwezekani tuwaache wanaoona inawezekana wafanye.
  8. Kyatile

    USHAURI kwa Makonda na kampuni za utalii namna ya kukuza utalii jijini Arusha

    Upo kwenye malalamiko tu Makonda yeye anachapa kazi. Dawa ni kuachana naye ufanye mambo mengine
  9. Kyatile

    Makonda amekichemsha Chama Sasa Makalla kakipoze

    Na aliposema "tumeamka vizuri" hukuelewa? Katika logic hakikisha statement zote ziko kwenye harmony. Ukiona sentensi zote hazipo kwenye harmony something is wrong.
  10. Kyatile

    Makonda amekichemsha Chama Sasa Makalla kakipoze

    Na aliposema "tumeamka vizuri" hukuelewa? Katika logic hakikisha statement zote ziko kwenye harmony. Ukiona sentensi zote hazipo kwenye harmony something is wrong.
  11. Kyatile

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Ukiendeshwa na chuki utaishia kuumia na mwishowe watu kama ninyi wanakuwa magaidi
  12. Kyatile

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Ana akili gani? Huyonl ni mtoto mdogo na hajui chochote. Unapoanza jambo productive usifikiri mambo yatakuwa mteremko. Hata unapozaa watoto utashangaa wengine wanakuwa na tabia za hovyo na hiyo haimaanishh kuwa kuwa na watoto ni jambo baya. Lazima uwe na mipango ya kumitigate matatizo yanapotokea
  13. Kyatile

    Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Moja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung...
  14. Kyatile

    Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
  15. Kyatile

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Na baada ya yeye kufa CORONA iliondoka yenyewe?
  16. Kyatile

    Biashara ya karanga

    Hizi huwa ni ndoto za Abunnwasi na ndo zinawaponza vijana wa A-level na vyuo vikuu. Wakija mtaani hawakutani na haya mambo bali ajira za 250k mpaka 600k. Watu wanaolipwa 5M ni wachache sana tena sana ukilinganisha na wanaolipwa chini ya laki 9
  17. Kyatile

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kati ya kitu wamarekani huwa hawakosei kwenye mahesabu ya pesa katika biashara. Kuna njia nyingi za kugenerate mapato na njia kuu kwa Chelsea ni kuuza wachezaji wa academy ili kupata pure profit. Mchezaji kama Galagher, Chalobah na academy players ambao ni injury prone wanaweza kuuzwa
  18. Kyatile

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    1. Chilwel, James, Gusto, Cuculera injured, wewe kama mtaalamu unamchezesha nani full back wa kushoto na kulia kwa wachezaji tulio nao wengine? 2. Hatuna typical namba sita na hivyo usitegemee mabeki kuwa stable. Muda wote tunaposhumbuliwa huwa unamtazama Caisedo yuko wapi na anafanya nini?
  19. Kyatile

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Caisedo anachezeshwa namba 6 ili siyo nafasi anayoimudu. Namba sita halisia ni mchezaji kama Rice au Rodri. Caisedo yeye ni mzuri kama box to box midfield. Anaweza kuja nyuma kusaidia timu ianze mashambulizi na baada ya hapo atapanda juu kushambilia kama timu ina mpira au kukata umeme huko...
  20. Kyatile

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakuu matatizo ya Chelsea ni makubwa kuliko kocha. Angalia =>timu inakosa balance kwa sababu hatuna namba 6, =>hatuna clinical striker, =>Thiago is running out of energy na hatuna right substitution akiondoka, =>Hakuna viongozi pale uwanjani kariba ya Lampard, Drogba, Terry, Peter Chec...
Back
Top Bottom