Search results

  1. kamandamchovu

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    hapana ndugu...ngwajima ni binadamu kama wengine ana hisia, hasira, kutotaka kuaibishwa, na sifa zote za binadam...uweke pembeni uchungaji..tumchue yeye kama yeye kama mtu alie aibishwa sana....kama ni kweli anahusika na madawa wamfunge kama inavo wataka kisheria ila kama ilikua kuwachafua na...
  2. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Kweli aseee....nashukuru!!....kwanza nipeleke cv pale nikifanikiwa nilate ata experience!! Ila big up sana mnyaru
  3. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Daah...nimetoka zangu iringa ndugu yangu
  4. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Nashukuru sana ndugu....ila usiamini hicho unacho amini coz hujui nafanya nn saiz...sja kaa tuu kusubilia kuajiliwa...am doing my own staffs for my life....kwasababu napenda ku work na crdb ndio maana nime express my feeling...ss daah...mbona mambo magumu ivooo
  5. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Najua bank ina goals,mission and vission na inahitaji watu wakufanya kaz kwa moyo wote for archievement!! Am here,am ready...na iwill work to make sure my dream bank go far and extra mile to deliver
  6. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Moyo utaridhika sababu bank is not exist any more...kinaniuma coz the bank i was dreaming is still there na kuna watu wanaishi ndoto yangu(employees and all staff)
  7. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Ni kweli ...ila utategemeana sana sana na unacho fanya...kama ni cha mtaji mkubwa na unauwezo kwa kutengeneza profit ya kutosha per day after excluding all cost...unqfanikiwa mapema sana.....kufanya kaz crdb....i was dreaming for long time!! Nisha maliza kila kitu nilichokua napaswa kufanya...
  8. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Nimepeleka tu barua....sijawahi sikia wanatangaza ajira.....hata online website yako kwa upande wa online application kila siku iko in maintanance....i know about GPA
  9. kamandamchovu

    Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

    Kwa sasa ukiji ajiri kuna uwezekano mkubwa sana wa kufanikiwa kwa mda mfupi. LAZIMA NIJIAJIRI kwasababu na uchu wa mafanikio.....lakini kusoma kwangu mpaka chuoo nilikua na ndoto ya kufanya kazi katika bank ya CRDB...NDIO MAANA nikaenda IFM kusoma banking and finance baada ya kufauru vizur...
  10. kamandamchovu

    Faida za juisi za matunda kiafya

    Ukihisi una uelewa wa kitu flani na unataka ku share na wanajamii nao wafaidike kwa ujuzi wako una anzisha thread yako safi kabisa...watu tutapita tutasoma na kukushukuru kwa upendo...kama nami kwa sasa navo mshukuru dr.MZIZI MKAVU!kwa sababu sijalipia alicho nifundisha..ntakitumia milele...
  11. kamandamchovu

    Nitasafirishaje mazao kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa kutumia gari?

    Sijawahi fanya biashara ya kuvuka boda, sasa nataka nisafirishe mazao yangu nijaribu na soko la Kenya kama naweza kupata angalau faida maana huko Dar madalali hawana huruma na mtaji wangu. Mwenye uzoefu wa ninachotaka kukifanya NAOMBA ANISAIDIE TAFADHALI
  12. kamandamchovu

    Napata choo laini sana, tatizo ni nini?

    So umekimis kimba kigum cha zamani mzeee??
Back
Top Bottom