Search results

  1. A

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Maamuzi ya haraka na kijasiri yanatakiwa na ukawa,ukawa iwe na kundi lake kukabiliana na watu wasiojulikana,tena immediately .
  2. A

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Maneno ya busara na hekima,inasikitisha,ukatili unaondelea,hawa viongozi wastaafu wapo wapi?,Mungu atawahukumu kwa kuyafumbia macho haya mabaya sana,yenye ukatili.
  3. A

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Sasa unakusudia kwamba ukawa waunde kundi lisilojulikana,kukabiliana na hawa wasiojulikana,sababu haya Hilo jeshi la polisi limeshindwa kuwatambua hawa wasiojulikana,kwa maana hiyo,inatakiwa tit for tat,tena hili jambo liwe tayari kwa sasa liwepo,na mradi wa mwanzo Ni kwa wale walomdhulumu...
  4. A

    CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

    Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwait anavaa bendera,Ni kwamba eti yeye ndio inayamuuma nchi hii,nchi hii Ni ya watu wote,uajnja wake Ni wake mwenyewe.huyu akiachiwa nchi itaingia katika maafa makubwa,sababu Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwa eti anavaa bendera ndio...
  5. A

    Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

    Hawa ni wapinzani wa serikali ya CCM,ambao wakati ule walikuwa watiifu,wakiwa na mapenzi na imani na serikali na nchi yao,je wakikusanyika hivi,na wakadai haki za kibinaadamu zinazovunjwa zikome,itakuwaje ?????. Ukawa Huu ni wakati wa kuitisha milions march dar,Kwa maombolezi ya...
  6. A

    Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

    . Ukawa Huu ni wakati wa kuitisha makutano ya amani ya mamilioni ya Kama hapo juu unavyoona dar es salaam,Kwa maombolezi ya waliotekwa,kuuwawa na uvunjwaji wa haki za binaadamu.
  7. A

    Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

    Mkuu hakuna haja ya kuzungukazunguka kupoza homa kwa panadol kumbe ugonjwa ni malaria kali,tusema maneno bila kumungunya .Mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni raisi wa Tanzania Pombe John Magufuli ndio hapendi,hataki,anasikia kichefuchefu kwa neno wapizani hasa Chadema,yeye kwake upinzani ni...
  8. A

    Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

    Kwani wewe unadhani alishinda???,Ni sawa alishinda kwenye tume ya CCM na tume ya uchaguzi ya CCM.
  9. A

  10. A

  11. A

  12. A

  13. A

    Baba wa taifa aliyoyasema,Ni sawa na haya ya serikali hii iliyomadarakani,utabiri wake umekamilika.
  14. A

    Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

    Hapa baba wa taifa alitabiri kweli,the clip is speak itself,it's amazing prediction,wonderful words.
Back
Top Bottom