Search results

  1. S

    Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

    Mkuu hiyo rangi kama ndivyo basi LA anaweza kugombea urai 2015 coz king maker anahusika lkn when you read btn the line ccm has finally reached an end!!!!! its obvious that, kama wana busara wakubaliane na Nape kwamba miaka minne aliyoacha RA Igunga isiwe ktk himaya ya ccm watumie nafasi hiyo...
  2. S

    Uhusianao kati ya Nape na Pro. Mwandosya ni wa KIITIKADI au?

    Mkuu ktk rangi, asio hili analile japo chembe ati!!! kwa jinsi yalivyo maisha ya bongo kwa hilo laweza tokea na likawepo kama ikididi basi pandora-pox lifunguliwe!!!!i TAKE NOTE!!!!
  3. S

    Uhusianao kati ya Nape na Pro. Mwandosya ni wa KIITIKADI au?

    Mkuu, hiyo rangi kwa vijana hasa hawa waliopo sasa huo ndo mwelekeo wao unakumbuka kipindi cha Guninita na Sukwa Saidi Sukwa??? ikaja ya Gunninita vs Uhaula?? Halafu Nchimbi vs Nape??? Ikaja Bashe vs Others ???? Kimsingi, ukichanganua hizo sub-sets utapata set kubwa ktk system ya Mtandao ambao...
  4. S

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Mkuu, hali kama hiyo hutokana na mfumo uliopo na jinsi anayeuongoza alivyo na mtazamo, japokuwa succession plan inapaswa iwepo ktk mtindo wa scouting!!! Mwl Nyerere hakuwa muunmin wa mfumo kama huu lkn aliweza ku-scout kimtazamo who shall be next ktk line up kiuongozi kv Sokoine, Kawawa, Msuya...
  5. S

    Sitashangaa "VOTE OF NO CONFIDENCE" ikapigwa kabla ya 2015...

    Mkuu hiyo rangi inamaabisha sasa wameanza kukomaa na fikra zao zinageuka kuwa pevu!!!!! la vote of no confidence lawezekana!!!!! VUGUVUGU LA MABADILIKO YA KISIASA NI KAMA MAJI USIPOYANYWA UTAYAOGA, USIPOFULIA UATAPIKIA NK. It is unkwepable!!!!!!
  6. S

    Zungu wa ILALA kufuata nyayo za Rostam?

    Mkuu,hiyo rangi hapo kama kweli atakuwa mtanzainia wa pili mwenye asili ya asia wa kujivua gamba???? lkn yawezekanaje m-asia amwonee uchungu m-tz (black) ??????? isijekuwa ipo special interest hapo, perhaps anataka kujiuzulu kukwepa ile scandle ya DDC ie. hon masaburi-saga!!!!! ammo-te...
  7. S

    UDA Scandal Files: Part I (Revealing)

    Mkuu, huu ni mtego wa panya aliyekuwemo na asiyekuwemo................!!! Yaleyaleeeeee ya Adadi Rajabu vs Mahita a.k.a zombe!!!!!!! WOOOTE MANZI GA NYANZA!!!!!!!!!!!!
  8. S

    Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

    Mkuu ktk hili ni hekima, kudumisha zaidi fikra pevu yapo mabo mengi sana na ya msingi ambayo JF imeyafanya, inaendelea kuyafanya na itayafanya !!!!! ndo maana inaitwa JF-fikira pevu siyo potofu!!!!!!! LAWAMA SI MZIGO, JF SI WA KWANZA KULAUMIWA!!!!!!!!!
  9. S

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Mkuu, hapo penye rangi ni kweli TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNARUDI NYUMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. S

    Nape ampinga Makamba kwamba hata JK sio maarufu kuliko Chama

    Hiyo rangi ni mpiga vuvuzela au vuvuzela lenyewe ufikirishaji ukoje???
  11. S

    Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    Mkuu ktk hili sawa lkn je ndani ya utajiri wake hamna mwekezaji asiye mzawa? kama toka oman au sa? isijekuwa amesisima ktk mabega ya watu ili aone mbele! sijui!!! CHAMBILECHO!!!!!
  12. S

    Godbless Lema awataka wananchi kuvuta subiri, kujiandaa na maandamano makubwa

    Maandamano is the only solution, no way back!!! coz mwisho wa siku ni patokee makutano fahamu, KUDAI UHURU NI RAHISI KULIKO KUDAI HAKI????voxy populi voxy dei!!!!!
  13. S

    Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

    Mkuu, hapa pana kitu kimetulia sana uhusiano wao ni muhimu maana hata yule Papa Msofe wa knd na .....................papa-mteketaabdul a.k.a mb-klomber...............there are comrade in arms!!!! kv. samakimionzi move???? Mombasa wasema, ASOHILI ANALILE, JAPO CHEMBE!!! uligwa?????
  14. S

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Mkuu, katika hili zimwi likujualo ndio kigezo! Wataalamu wapo nchi hii inayo hazina sana Institution kama benki kuu ingetumika ili kujenga mustakabali endelevu wa maadili watu kama dr bukuku, dr likwelile wamefanya mengi mazuri amabyo ni remerkable, hawa waliotajwa ni corrupt beyond repair...
  15. S

    Ripoti ya tume ya maadili ya Philip Mangula iko wapi?

    Mkuu, lisemwalo lipo yasemekana alimwambia no way!!! ndo maana nguvu kubwa ya mtandao ilitumika kumwangusha ktk kinyang"anyiro kule iringa. Lkn je wajua sasa yuwapi??? nyungo za intelijensia zimenasa kwamba yupo kwa Madiba akiwa na cheo cha Mshauri wa Mambo ya Siasa kwa Mzee XUMA from the...
  16. S

    Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo

    Je ulishasikia au kuona mwl/kawawa/sokoine wakishuhudia arusi za ndugu zao kama hivi??? common sense is not common at all!!!!
  17. S

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Mkuu! Ushostito ktk kazi hayo ndo matokeo yake! Jairo huyu ndo yule aliyekuwa msaidizi wa rais au yule aliyekuwa wizara ya nishati kipindi JK akiwa naibu waziri na Prof.Mwandosya akiwa KM kama ni siye sawa lkn kama yeye hapo sasa yametimia, hiyo wizara imelaaniwa unakumbuka yaliyompata...
  18. S

    Chachu ya mawaziri vijana iko wapi?

    Mkuu, thanx for your opinion lkn mbona wabunge vijana noa hujawafanyia tathmini? kisha wenye asili ya kiasia je?? Kimsingi nakualiana nawe lkn hata kama ungekua ww ktk nafasi kama hiyo ingeenenda tofauti nao??? kumbuka mfumo uliopo wa serkali ya ccm hata uwe na ngivu za akina musollin/plato...
  19. S

    Kafulila azua balaa bungeni

    Mkuu, akina 6 na ccm wanajipanga upya cdm shold ready btn the lines???? ulitegemea 6 atakaimu u-Waziri Mkuu???? suala hapa si kujadili matukio ni hoja za nguvu na kujipanga kabla ya bomb-shed!! dont underate the opponent even though is blind!!!!
Back
Top Bottom