Search results

  1. MrOnline255

    Ndugu zangu Wabunge tupiganie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF

    Wanasubiri waje wakupe uzeeni ukafie gest na kibint kipya namba D
  2. MrOnline255

    Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Wanaona njia zao za upigaji zinaenda kufa
  3. MrOnline255

    Kati ya wafanyabishara na wafanyakazi nani mlipakodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu?

    Kwenye izo tozo za biashara umesahau kuna service levy pia mkuu
  4. MrOnline255

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Ivi kaburi lilitengenezwa mda gani maana mi nlishangaa kuona ghafla liko tayari na tiles
  5. MrOnline255

    Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

    Ivi kwani magu alifanya yale yaliokua kwenyw ajenda yake ya uchaguzi???? Au alifanya mengine yasiyoeleweka
  6. MrOnline255

    #COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Tusitumie kigezo hicho kuacha kudhibiti maambukizi ya corona kwakuwaambia watu wafanye mazoezi ili corona isiwadhuru sana Sio kila mtu ana uwezo wa kufanya mazoezi kuna watu wengine miili yao hairuhusu kufanya zoezi
  7. MrOnline255

    TABOA yamuomba Rais Magufuli kuingilia kati na kuvunja utaratibu wa kuweka wakala wa kukusanya mapato kwenye ukataji wa tiketi

    Yeah ...kama apo kwenye tanroads na tarura Hadi leo sjajua umuhim wa kuanzisha tarura ilikua n nin
  8. MrOnline255

    #COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Afadhali wamenisaidia kuuliza ilo swali maana nmeshajiuliza sana mwenyew bila kupata jibu
  9. MrOnline255

    RC Mghwira: Nashtakiwa sana kwa Rais Magufuli

    Amna anayempinga mkuu wa mkoa Uyo meya ndio mchaga na HATUMTAKII njoo pasua uulize
  10. MrOnline255

    Rwanda yazindua simu ya kwanza aina ya smarphone 'iliotengezwa Afrika'

    Tanzania yangu ya viwanda sijui imefia wapi jaman 😔
  11. MrOnline255

    Yupi ni boss wa mwenzake kati ya Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri?

    1 sio wote wamefika chuo 2 Kama mtu kakosea kunatatizo gan ukimuelekeza kistaarabu tu
  12. MrOnline255

    Charles Kitwanga: Tatizo ni maarifa!

    Apo kwenye E passport apoo 🙄 Sjui huwa tunakwama wapi wakati wataalam tunao
Back
Top Bottom