Search results

  1. P

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Habar wapendwa. Naomba msaada wenu, nahitaji KUDOWNLOAD movies and Series zikiwa na English subtitle ila nashindwa japo navutiwa sana na movie na series za kikorea pamoja na kimarekani. MSAADA WENU PLZ
  2. P

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Msaada wako shule Uroki sec jina Zuhura R Mzava
  3. P

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Msaada kuangaliziwa ZUHURA R MZAVA jina la shule ni UROKI SECONDARI
  4. P

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Mbona haikubali kila nikiingiza jina la kituo naambiwa niingize kwa usahihi
  5. P

    NACTE mnatuumiza jamani

    Ngoja tu niende nilikopangwa awali maana naona disco halichezeki hili
  6. P

    HESLB wameanza kupokea appeals

    Unalipia 5000 kuappeal then unakosa tena unakuwa umepoteza 35000 plus mausumbuf ya kugongewa mihur na nauli za hapa na pale 35000 Jumla 70000
  7. P

    Tuliofanikiwa kupata transfer za TCU

    Hongerni mliopta transfer. Hivi kuna alieomba transfer za TCU online amepata?? Maana mie nilituma online naona kimya
  8. P

    Tuliofanikiwa kupata transfer za TCU

    Hongerni mliopta transfer
  9. P

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    ww ndie unampotosha mwenye uzi, jamaa katoa mmaelezo sahihi. Kwanza diploma sio masomo saba yanafika kumo masomo mawili ya kufundisha na masomo ya ualim 8 mfano 1. Histor 2 kiswahili 3. Devlpmnt stud 4. Eductn media 5. Eductn psychilog 6.reseach,evaluatin & measurment 7. Ict 8...
  10. P

    Majina HESLB yaongezwa

    Naomba nichekie hizi. S0850.0040.2006 na hii P0353.0084.2007
  11. P

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Naomba msaada plz P0353/0084.2007 na S0850.0040.2006
  12. P

    Registration SAUT - Mwanza vipi?

    Wanajamvi naomba kujulishwa juu ya usajili kwa mwaka wa kwanza saut-mwanza, maana mie nimepata batch ya 3 na majina yaliwekwa net tar 5/10 wakat usajili ulianza tang tar 23/9 na hawajaweka hadhar yeyote kwa sisi wa chagua la 3 ambao weng wet ni equivalent kuwa mwisho kurpot ni lini zaid ya...
  13. P

    Transfer forms za NACTE

    Bongo bongo lala
  14. P

    Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    mdau itakuwa ni vipi kama nitaijaza kwa kutype (kuandika kwa kompyuta) then nikatuma?? Je nitakuwa nimekiuka utumaji wao?? Maana nilijarib kupiga cm zao ckupata majib
Back
Top Bottom