Search results

  1. K

    Mkuu wa wilaya ya Hai Norman Sigalla afanya ufisadi jimboni hai

    maneno yako ni msanii, mwizi, mnafiki, anachafua jimbo, weka takwimu hapa sio mineno miingi ya kashfa bila takwimu. nyie ndo wanafiki maana mnaongea mineno mingi na mitusi isiyo adabu lakini takwimu zero. WEKA TAKWIMU TUKUELEWE NA ACHENI MAJUNGU TENA YA KITOTO
  2. K

    Mkuu wa wilaya ya Hai Norman Sigalla afanya ufisadi jimboni hai

    Hakuna data zozote hapa za kutosha kumfanya Dk Sigalla atuhumiwe nazo kwa ushahidi, sana ni maelezo yasiyo bayana ya kuwa ametumbua millioni 300 ambapo hata hivyo hakuna ushahidi uliwekwa hapa ila speculation. Ninachoomba na kuuliza ni yafuatayo.... moja: kuwepo na takwimu za ufujaji fedha na...
  3. K

    ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

    Hapo tunakwenda pamoja kaka, one thing you should take note pls, Mafisadi wote Mzee wetu anapambana nao kwa usawa, ila kumbuka vitu vitatu vya muhimu: 1: Wakati wote walikuwa "confronted" Huyu Mmoja alichaguliwa na wenzake kujibu mapigo, front man wa wafisadi. 2: Huyu Bwana anakwapua bila...
  4. K

    ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

    ............. wajinga ndio waliwao, nchi yako, fedha zako, unatetewe, wewe huoni unaona uhasimu wa kibiashara, Mzee Mengi, uchungu ninao ila swala sina ujasiri wako leo! tuvute tutakufuata, wajinga wapo wapuuze maana akili mgando nazo akili!
  5. K

    ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

    Ninaamini JF ina watu wa aina zote, watu waelewa na watu wasio waelewa, watu wenye akili zao, watu wasio na akili na nafikiri hata punguani wapo hapa, ni jamvini hatuchujani. Kuna mengi yamezungumzwa kuhusu hili swala la wizi na kukurupua mali za umma, lakini kwa mtindo huu wa wanaJF hatufiki...
  6. K

    CHADEMA ni chama cha PROPAGANDA

    huu mlolongo wa habari za huyu Zawadi ulianza kwa maneno yanayokaribia busara kisha kufuata maneno ambayo hata CCM hayakubaliki. ishara njema ya kujenga hoja ni kutokumia nguvu na ishara nzuri ya nguvu ni kuzionyesha. Zawadi umeanza vema ila ubabe viachie vyombo vya dola ndo kazi yake, wewe...
  7. K

    Gari la Mbunge wa Mtera lapigwa jiwe; aapa kuwapiga bao CHADEMA!

    Fujo, hujuma, hasira, matusi, kejeli sio vitu vizuri katika siasa. Uvumilivu, hoja, mifano hai, mipango mahususi na pia mapendekezo ya wengi ni mambo ya maana sana katiika siasa. Pole sana Mbunge wa Mtera. Ila pia ni wakati wako wa kuvumilia na siamini kuwa hayo maneno kama kazee kagonjwa...
  8. K

    CCM Igunga wafyekana mapanga kugombea pesa

    Siasa za fedha na siasa za dhuluma sio nzuri, hata hivyo kuwa na mambo kwa kiasi ni wajibu wa kila mmoja, hakuna sababu ya mtu kuumia katika siasa ila labda iwe kwa hoja
  9. K

    Kwanini mkutano wa juzi wa CHADEMA Arusha hatukuona kwenye vituo vyote vya TV?

    ITV walirusha siku hiyo hiyo jioni, usiku na pia kesho yake.
  10. K

    Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

    Kimsingi, ili wananchi waendelee kuchangia ni lazima pawepo na taarifa za mapato na matumizi yote ya fedha. Wengi wamezoea kuburuza wananchi na kuwalazimisha kulipa kodi. Kama hao madiwani wana ubavu basi walazimishe wananchi kuchangia kama wanavyotaka kulazimisha Mbunge wa wananchi akajieleze...
  11. K

    Kipima joto itv live mada mikataba ya ruswa

    hii ni mada muhimu sana kwa mikataba yote ya serikali kwenda bungeni kupitiwa upya. bora serikali nzima ijivue gamba,
  12. K

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Bwana Bashe, kwa historia yako, kwa maisha yako, kwa akili yako, kwa mwendeno wako, HUNA moral authority ya kumuongelea mtu mwingine hapa. Sana naona ni mtu mchafu anamvuta mwingine uchafuni na anafanikiwa kwa kutumia maneno ya kuandika. Niseme tu maneno haya, tunaangalia sana direct mistakes za...
  13. K

    Gamba halisi la nyoka hili hapa by Prof Euphrase Kezilahabi

    Prof. Euphrase Kezilahabi, Private Bag 0022, University of Botswana, Gaborone, Botswana. E-Mail, lutzdiegner@hotmail.com source: Literatur & Translations - Search
  14. K

    Gamba halisi la nyoka hili hapa by Prof Euphrase Kezilahabi

    Sahihisho: Prof. Euphrase Kezilahabi bado yuko hai na yuko kikazi Botswana. tafadhali sahihisha hili.
  15. K

    PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

    I believe there is a serious flaw in this report. NSSF inatajwa mara kadhaa kwenye mambo ambayo sio sahihi. 1: their dealings na Manji na godowns za Ubungo 2: Ajira zinazolenga udini 3: Miradi isiyo makini kama ule wa smart cards kwa members ambao umekufa kabla hata haujasimama 4: Safari za...
  16. K

    Tuhuma za Mengi kwa jeshi la Polisi zilizimwaje?

    Kesho kuna kipimajoto ITV kinachosema Tatizo la Raia kuua polisi, nini kifanyike? nahisi hii pia ni sehemu nzuri ya mchango kuwa umakini wa polisi katika kutatua migogoro na kuishi vizuri na jamii inaweza kuwa inachangia sana katika kuleta kutoelewana kati ya polisi na raia.Polisi mwadilifu...
  17. K

    Buriani Shelembi, mpiganaji shujaa wa CHADEMA - Zitto

    Naona Ntemi alipoandika hii thread alikuwa hajaangalia ITV kama anavyodai. ukweli nimeona hii habari ITV tena kwa kirefu sana. Naona ni vema kuwe na data muafaka jamani.
  18. K

    Uteuzi Mkurugenzi wa TBC, Katibu Mkuu na Naibu Makatibu Wakuu

    Clement Mshana ni mtu makini sana. Hajui na hana siasa za maji taka. ataipeleka TBC na Nchi mbali sana. Mungu amjalie afya njema. nawapongeza wengine ingawa sina UHAKIKA sana na utendaji wao ila naamini sio "mashemeji".
  19. K

    Mtihani kwa CDM

    Mtazamo unaoonekana hapa kwamba CDM haimiliki jukwaa au CCM haijajisafisha sina ujuzi nao. Ila kwa maoni yangu, CCM inacheza michezo bila kuwa na long term strategic planning wakati CDM wanacheza pale CCM wanapoamua kuweka Muziki. Kumekuwa na tatizo kubwa la vyama vya siasa kupingana badala ya...
  20. K

    Bravo ccm, bravoooooo

    for now............................ Bravo ccm
Back
Top Bottom