Search results

  1. Ikula

    Msaada namna ya kupata mimba

    Iringa Mimi niko ikwiriri
  2. Ikula

    Msaada namna ya kupata mimba

    Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
  3. Ikula

    Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Chadema tuambiane lini mkutano wa hadhara tumsikie mh lema mm niliye iringa nianze safari
  4. Ikula

    Hivi kuna pombe ya kienyeji nzuri kama ulanzi?

    Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
  5. Ikula

    Tuliomaliza form four kabla ya 2011 NACTE

    Jamani nilikuwa nafanya usajili NACTE lakini nikifika sehemu ya kujaza mwaka niliomaliza form four mwaka haukubali. Nilimaliza mwaka 2006, naomba msaada wenu tatzo nini au tuliomaliza kabla ya 2011 hatutakiwi kuomba?
  6. Ikula

    Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Msaada kwa anayejua namna ya kuapply ukifika sehemu ya kujaza mwaka uliomaliza o level ni kama panazingua vile
  7. Ikula

    Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Sawa kaka nimekuelewa sasa namna ya kuapply nacte ukifika sehemu ya kuweka mwaka kama panazingua hivi
  8. Ikula

    Msaada: Naweza kusoma tena kozi za afya?

    Wanajf,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2006 na kufaulu vzuri daraja la kwanza point 17 masomo ya sayansi nikafaulu vzuri pia bios A,chem B,physics C na math C lakini kwa kutokujua advance nikaenda mchepuo wa arts nikafaulu vzuri pia nikaenda chuo kikuu nikasoma BBA lakini toka nimalize mambo...
  9. Ikula

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Hapa kaandika kama mwananchi wa kawaida hizo nyadhifa unaleta wewe
  10. Ikula

    Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

    Wadau nataka kujua ukishasex kama umepata mimba baada ya siku ngapi utahisi mabadiliko ya mwili?
  11. Ikula

    Rais Mugabe asema atagombea urais hata akiwa marehemu

    Kaka hujaeleweka au na wewe ni kihiyo?
  12. Ikula

    Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Asante [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  13. Ikula

    Tundu Lissu anawatumia Wananchi kama daraja tu!

    Huyu msukuma Mimi huwa nikiona taarifa yake ni kutafta music uliko kwani ni kati ya wasiojali ustawi wa wananchi
  14. Ikula

    Utapeli wa kitoto umeingia Dar

    Huyo siyo tapeli ni mwanafunzi tapeli hawezi leta utapeli wa kitoto huo nakwambia yule tapeli mwenyewe usingechomoka
  15. Ikula

    Mahakama yaombwa kuharakisha kesi za ugaidi zinazowakabili waislamu

    Imani na mahakama nilipotezaga kitambo sana utasemaje mahakama huru wakati viongozi wa mhimili huo wanateuliwa na mtu mmoja
  16. Ikula

    TANGA: Mahakama kuu yatupilia mbali shauri la Mama mjane aliyelalamika kwa Magufuli.

    Yule mjane wa magufuli wa mirathi yake huko Tanga nimemuona Lumumba pale amekaa na jopo la mawakili wanataraji kukata rufaa dhidi maamuzi ya mahakama ambayo imetupilia mbali Kesi yake.
Back
Top Bottom