Search results

  1. Padri Mcharo

    Kenyans in the diaspora sent home $244 million (Sh24.82 billion) in December Alone!

    Wanaogopa kurudi kenya kwa sababu wanajua Al shabaab wazee wa kazi muda wowote wanakiwasha. Na mtawakoma tu
  2. Padri Mcharo

    Kwa wale wapenzi wa football pita hapa

    Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!! Andikeni nyuzi zenye mashiko. Kuna mambo mengi ya msingi kujadili.
  3. Padri Mcharo

    Je wewe ni mdau wa Betting na unahitaji Odds 2+ za uhakika kila siku

    Hujaja kuokoa watu wewe, sema umekuja kutafuta watu wakuchangie hela ya kubeti. Nime join hilo group unatangaza kuwa lazima mtu atoe 15,000 ndio aungwe kwenye group la hizo Tips. Weka kila kitu wazi hapa
  4. Padri Mcharo

    Miaka miwili bila kusex

    Mbona kuna Jamaa zangu watatu walienda JKT mwaka juzi August mpaka leo bado ajira hazijatoka na wako kambini. Mapenzi wanafanyia wapi. Kawaida tu.
  5. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Unaongea udyelyelya kufurahisha genge. Mchumba wangu nimemfungua utando mwenyewe kwa kutumia mkuyenge wangu mwezi March mwaka huu. Sasa sijui unataka ninase mara ngapi??? Au unamaanisha niachane nae halafu nianze kutafuta mwingine...
  6. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Hajulikani ama we ndio humjui.
  7. Padri Mcharo

    Kuna nini Kisiwa cha Mbudya kilichopo mkoani Dar es Salaam?

    Kama hujui kitu kaa kimya. Kule Mbudya ni beach kama zilivo beach zingine. Watu wanaenda kupunga upepo, kuogelea, kucheza mpira wa mchangani. Sasa hapo Shetani anaingiaje.
  8. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Wewe Rama Q acha uboya wewe. Angekua ameshika dini vilivyo asingekubali kuvuliwa chupi na kuzini kama haitoshi hadi anazalishwa. Hapo hakuna mshika dini.
  9. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Wewe Beef Lasagna acha kuhalalisha vilivyoharamishwa. Halafu wewe ni Muislamu kabisa. Nashangaa unatetea upumbavu kama huu. Mwanaume anaanzaje kuoa mwanamke alozini akazalishwa. Siwezi kuoa mwanamke mzinifu alozalishwa kamwe. Never. Ever. Forever.
  10. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Siwezi kuoa janamke lililozalishwa kamwe. Never Ever Forever.
  11. Padri Mcharo

    Msaada wana JF

    Kupigwa mimba ni akili za kitoto??? Acha upumbavu wewe kuhalalisha masingle maza waolewe kwa sababu za kijinga.
  12. Padri Mcharo

    Nakupenda lakini umechelewa

    Nawapongeza sana wajomba kwa msimamo thabiti. Haiwezekani Mwanamke wa Kiislamu akaolewa na janaume Kafiri. Hiyo haipo. Alipokuja huko South ulimlazimisha kuzini??
  13. Padri Mcharo

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Blaza, lakin mbona nakuona unauza viwanja, unanunua magari, unauza magari. Halafu unakosa 1.5 Million ya kuweka umeme???? Kuna kiwanja chako umekiuza 6.5M kabisa juzi juzi.
  14. Padri Mcharo

    Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

    In reality hiyo haiwezekani. Acha kujaza forum kwa kushabikia ujinga. Most of men huvaa boxer moja kuanzia siku mbili (minimum). Mimi binafsi navaa boxer kati ya siku 2 mpaka 3.
  15. Padri Mcharo

    Earphones Original - Mziki Mnene

    Taja bei babu.
  16. Padri Mcharo

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Hii nyumba haijapataga mpangaji tu?? Evelyn Salt alikua anatafuta nyumba nje ya mji.
  17. Padri Mcharo

    Driver job seeker

    Safi kabisa. Unaonekana wewe ni Muislamu. Maana una moyo wa kusaidia.
  18. Padri Mcharo

    Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    Nilisomea Amsterdam Netherlands. Mwaka upi hadi mwaka upi Non of your business.
  19. Padri Mcharo

    Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu ameng’atuka, nafasi yake kuchukuliwa na na Askofu Isaac Amani

    This news reminds me 2012 June 21 nilipobwaga manyanga na kuachana kabisa na Upadri. Miezi miwili baadae (August) nikatambua dini ya haki isiyo na shaka ndani yake. Allahu Akbar.
Back
Top Bottom