Search results

  1. E

    Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

    Jibu Kwanza haya maswali : 1) Kuna uchunguzi wowote wa kitaalam uliofanyika kuhusu hii ajali? 2) Aliyefanya huo uchunguzi ni nani? 3) Uchunguzi ulifanyika lini? 4) Je, Uchunguzi ulibaini nini? 5) Je, Uchunguzi ulionyeshaje uhusiano wa kuanzishwa kwa Precision air na chanzo cha ajali? 6)...
  2. E

    Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Hata Mimi nimejiuliza malengo inayowekewa menejimenti ya bandari ni yapi na ya aina gani na kwa kipindi gani? Maswali haya na mengine ndiyo ya kupima utendaji wa bandari. Kama utendaji umepimwa ukaonekana ni hafifu, basi ni jambo jema kuja na malengo mapya na mkakati wa kuyafanikisha...
  3. E

    TANZIA Salum Shamte wa Katani Ltd afariki dunia

    Mkuu hata mimi nataka kujua kama huwa inarisishwa kama mali za marehemu...🤔
  4. E

    Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

    Kabisa mkuu. Wakorea, Wachina na (na sasa Wafaransa), walishafanya clinical trials wakaridhika na uwezo wa chloroquine. Marekani kaja dandia tuu-hawakuwemo! Wamarekani siyo wajuaji wa kila jambo...In fact watu kutoka asia ndo wanaongoza kwa IQ kubwa duniani na marekani ni kama soko la...
  5. E

    Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

    Ni kweli anaheshimika na yawezekana amesema hakuna tiba. Lakini Fauci hayuko kwenye kutibu (na pengine kwenye utafiti na majaribio ya dawa) covid 19. Ila China, na France wamefanya research na trials limited-as against wide trials- na wamejiridhisha hydroxychloroquine na chloroquine...
  6. E

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Hiyo "bad law" kwa maneno mengine anamaanisha imehuisha mapungufu yanayolalamikiwa...🤣
  7. E

    Lema amjibu DPP Mganga Biswalo, amtaka aache kutisha watu

    Mbona unawaogopa sana wachagga? Jibu ni moja tu: Mkabila!
  8. E

    Kwa hukumu hii anayepaswa kupongezwa ni Dkt. Mashinji. Hukumu ingeweza kuwa mbaya ya kikatili. Wenye akili kubwa watanielewa

    Kwa hiyo, hawa ndo "drivers" kwa namna moja au nyingine: 1. Mashinji 2. Mabeberu 3. Tundu Lissu (Kawasemea sana kwa mabeberu) 4. Zitto ( Kamuiga vyema Lissu nae kwenda kusemea kwa mabeberu) 5.....
  9. E

    Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, Mahakama zetu ni huru? Hizi ndizo hukumu zetu za haki, who the hell is Marekani kutuingilia? Je, tukubali?

    Neno sovereign state ni neno rahisi sana kulitamka na kujivunia kwalo. Lakini kiuhalisia kuna states ambazo ziko most/more sovereign kuliko nyingine. Nchi powerful (economically, politically, and etc.) hazihitaji kusema ziko sovereign this, sovereign that. Mdogo ana sauti lakini mkubwa ana...
  10. E

    Honestly, Hakimu Mkuu Simba amekuwa 'fair' sana kwa Mhe. Mbowe na wenzake

    The biggest question of the hour is what realy "drove" this "fairness".
  11. E

    CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Wazungu wanasema mtu mwenye vyote ana "unfeterred powers".
  12. E

    CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Ni kawaida kwa mwanadamu yeyote asipodhibitiwa hata magharibi wana mifumo ambayo ni advanced sana ya kudhibiti kuliko hata ya Muafrika.
  13. E

    Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Huyo chairman wao huwa anajichagua mwenyewe? Bwana yule ambae nae alijitosa uenyekiti akapata kura 50 hv kati ya 900 hv, kaishia wapi? Sasa naamini ya kuwa bila ya watu fulani upinzani makini utakufa mchana kweupe kwa mashambulizi ya zama hizi.
  14. E

    Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

    Nooo...akikosa ndo uhame!
  15. E

    Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Mbowe hapo alipo anacheeka... Nothing so far has seemed to work for them...kama aliondoka bwana yule na bado hiki chama kikabaki strong, bwana huyu ana lipi hasa? Labda useme kaondoka na taarifa za mipango, mbinu au siri chafu... Madhara yapo japo si makubwa kama ambavyo akina fulani...
  16. E

    Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Atakae shinda atakuwa kashinda kwa sababu kachaguliwa kwa kura halali za wapiga kura halali...mengine kama hili lako la ubatili yatabaki kuwa ni mawazo na wishful thinking expressed kwa keyboard typing..
  17. E

    Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

    Kuna shida gani uwanja wa ndege kuwa binafsi? Tatizo ni kwamba we lack a fundamental understanding of how the world works...
  18. E

    Taaluma maalumu ya uhasibu(CPA) sio kigezo cha kuwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG)

    Mkuu heko kwako. Kuna watu wanadhani kuwa kilaza ni kukosa uwezo kiakili! La hasha, ukiangalia chanzo cha watu kusema flani ni kilaza utagundua ni mrejesho hasi wa matokeo ya mtihani. Tena wengine mtihani wa form 4 au 6 au chuo. Wakati performance ya watu wengi huathiriwa na mazingira yaliyopo...
Back
Top Bottom