Search results

  1. Wecer

    Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

    Mbona hakuna jibu,hata mimi natamani kujua please ila nitajaribu kuipiga hio no hapo juu
  2. Wecer

    Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

    Wish iwe hivyo,if not waeleze wazi kwanini hafungwi
  3. Wecer

    Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    Hivi mtu akifatiliwa ndio anaweza kutaka kukuua? Tuweke akiba ya maneno Mkono wa serikali za duniani ukiingia hauachi alama za kijambazi..kuna kitu zaidi ya kile tunachokiona..wahusika mfanye kazi zenu.....hata kuuawa kwa yule mzungu wa pembe za ndovu...Tuiombe serikali iwakamate ,pia matukio...
  4. Wecer

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hizo training zipoje na ni lini? Tuambiane kama ni via whatup au venue ipo we want it
  5. Wecer

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mie nipo vizuri Finance ninanajua kuwa wapo speculators hasa nchi za nje.ila kweli Tanzania hii unaweza kufanya biasahra hiyo wakati kuna kama ka restriction kwenye mtu kuingia kununua stocks nje?? Najua yangu hii ni stock markets na wewe unasemea money markets...tell me more yaani umenifanya...
  6. Wecer

    Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Ukikopa dhamana yako ni nini,serikalini ukikopa ujue mshahara ni wao,wewe ukisepa unakuja kujikuta wanaidaka pesion yako ila with miaka miiiingi interest kubwa. Biashara ni ngumu mno la msingi omba kazi sekta binafsi ya ofsi unayotaka kufanya.Mfn ukifanya kazi benki unaweza kufungua...
  7. Wecer

    Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

    Nafasi hizo sikuwahi kuzipenda uoga hasa nikiona sinema za 007 James bond zile daah,zamani zile jkt miaka ile waliomba watu tuende cadet, wengine walienda,among them wapo ambao ni Tiss sasa,chanel nyingi uanze kuingia via majeshi kawaida wanapotangaza then utaomba humohumo,watakuwa wamejiridhisha
  8. Wecer

    Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Kwa muda Fulani tu.....hadi uchaguzi upya,na sidhani kama wananchi walimchagua huyo ila walimchagua Magu kwa kuwa walimtumaini na kumtangaza.Yeye ndio kaweka dira.Misimamo na uthabiti wa serikali hii ni mwenyewe Magu zaidi
  9. Wecer

    Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Ulinzi wa Rais haupangwi na yeye,kauli na majipu anayotumbua,makaburi anayofukua ndio yanayowaweka wakuu wa vyombo kuona apewe ulinzi huo ambao ni mkubwa tofauti na waliotangulia ila kulinganisha na Duniani sie ni cha mtoto.Mfn. Obama alipokuja kulikuwa na gari inayotuscan wote tuliojirani na...
  10. Wecer

    Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    Mbona umequote upuuzi waandishi hujui kuwa huandikwa kwa kupewa taarifa na mtoa taarifa kwa madhumuni Fulani?? Tanzania tupo juu sana nakubali ndio maana tuna majeshi congo na wamenyooka sana M26 kule.taarifa za idadi na aina huwa ni siri
  11. Wecer

    Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    HAKUNA KITU MBO MBONA NIMETUMA MTU AKANUNUE JAMANI
  12. Wecer

    Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    TUMPE SAPOTI JAMANI KAMA KWELI UNATAKA TUNYOOSHE NA MAMBO YOTE YAWE SAWA NCHINI KWETU SAPOTI NI KUMSIFIA SANA RAIS TUSICHUKUE MAPUNGUFU MADOGO KUWA NI ISHU. HUYU UZALENDO WAKE NA ALIOFANYA ANAWEZA,MSAPOTI HATA WATU WA UPINZANI UJUE MZIKI MZITO,HILI HALINA UCHAMA UNAWEZA KUKUTA MTU FAULANI WA...
  13. Wecer

    Operation ng'oa Magufuli inakuja

    waamb waambie tu..unajua wamemezeshwa uongo wa kale kazee kao kuwa yeye ni safi baada ya kuwa nao
  14. Wecer

    Bajeti ya serikali 2017/2018 kuwa Trillion 31.6

    kuporomoka kwa soko la hisa leo inategemea nani ni key players wa soko hilo na kwanini hawaendei kule kupata fedha au kipo chanzo kingine cha kupata fedha.Hii hali ni ya muda mfupi sana ndio maana taarifa za habari kimataifa hutoa taarifa za matokeo ya soko la hisa kila saa,kuna a lot of...
  15. Wecer

    Bajeti ya serikali 2017/2018 kuwa Trillion 31.6

    kuna instuments zinazotumika katika kuhakikisha serikali haikosi fedha,ikiwa ni pamoja na mauzo ya tressury bills,bonds nk,yenyewe ndio inayopanga ni kiasigani inunue na inunue kwa sh ngapi hao wawekezaji wapo wengi ila huweka nao masharti yao pia,,kwenye soko la kukopa ndani hio ndio istument...
  16. Wecer

    Maswali sahihi ya kujiuliza baada ya mauaji ya polisi, Kibiti - Pwani

    Jamii forum humu kuna machizi wengi kweli
  17. Wecer

    Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

    Usiweke guarantee kupata jibu la nia ovu ya wauaji kwa statement moja tu...kuna a lot of dots za kuunga ili mtu mwenye akili apate idea kamili..Mh mrema alisema vizuri Strengtherning intelligence zaidi. Swali zito ni hizo silaha wanazitoa wapi??
  18. Wecer

    Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

    WELL SAID...HIVI HUYU MAMVI ANGENYAMAZA JE??? RAIS WA NCHI KWA SWALA HILI HASA TUHUMA HIZO HAWEZI KUKAA KIMYA
  19. Wecer

    TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    hiyo labda zamani sio kwa huyu bb Jesca,huyu keshawa weka kina Kitillya na yule mrembo iwe hawa? wewe hii ni awamu ya tano....kaa vizuri uangalie hadi mwisho.Watanzania wanajiita wanasheria utasikia wanachukua tenda ya kuwatetea hao mafisadi
Back
Top Bottom