Search results

  1. shegaboy

    Msaada wa kisheria jamani naomba

    Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
  2. shegaboy

    Wanadanganya kuwa wameacha kazi ili wapate mafao yao

    Nimesikitika sana na sasa hiki chombo cha NSSF kitakuwa kimya mpaka lini kwani kuna baadhi ya watu wameingia na kusema kuwa wameacha kazi na hali bado ni wafanya kazi na wanapewa mafao yao. fatilieni katika haya makampuni mtaona na kugundua hiki hapa kwetu kuna watu wameleta maombi yao kupew...
  3. shegaboy

    Huu ni ushindi mkubwa sana ila awajui tu

    salamu kwenu JF Huu ni ushindi mkubwa sana kwa chadema kwani kushinda kata sita kati ya kata ambazo zilikuwa zinagombewa ni ushindi. angalia Chadema ilikuwa inagombea kata tano ambazo ilikuwa imeshinda katika uchaguzi mkuu 2010. sasa katika kata hizo tano zipo pia kata za...
  4. shegaboy

    Kweli kweli tamthilia hizi tunakazi sana kuvuka

    Ndugu zangu watanzania mimi ni Mtanzania mwenzenu na ninauchungu sana na nchi yangu ila viongozi wetu wanatuangusha sana kwa sasa. Embu angalia mambo mbali mbali yanavyoendesha hapa nchini na michezo mbali mbali ya kitoto tunachezewa bila kujua kweli kazi ni kubwa sana. 1. Swala la madaktari -...
  5. shegaboy

    Wakati sasa umefika kwa watanzania wafanyakazi wote bila kujali itikadi zetu kukataa hili

    Inabidi kuitisha maandamano kwa wafanyakazi wote kupinga hili na hili linawezekana liko ndani ya uwezo wetu kwani lazima lifutwe. watanzania hili linawezekana kwani nani hatatupiga mabomu hakuna kwanza. a) Polisi wote hili liko kwao pia mpaka miaka 55-60 polisi gani anakubali. b) Wafanya...
  6. shegaboy

    Ingekuwaje

    Kuna dada mmoja alikuwa anapenda sana wanaume siku moja kakutana na jamaa mmoja akasema anataka kumuoa. ila jamaa anajua nyendo zote za yule demu alikuwa anamtega tu. yuledada akakubali wakaenda kupima wakakuta wote wazima yule kaka akaanza kuomba mzigo kwani si tayari wachumba yule dada akampa...
  7. shegaboy

    Naomba msaada wenu

    Mimi nina matatizo yameanza kama miezi sita hivi sasa na nimekuwa nashindwa kuelewa nini tatizo hasa. Kila ninapokula chakula huwa nasikia hali ya kutapika kama kichefuchefu hasa ninapo kutana na mafuta flani sija jua nini hasa tatizo. naomba mnisaidie nini kina nisumbua mara nikiacha hicho...
  8. shegaboy

    Naomba nisaidiwe jamani kisheria

    Mimi ni muajiriwa katika kampuni fulani hapa mjini. nilipewa mkataba wa miaka minne, ambayo mpaka sasa nimeshatumikia mwaka mmoja na nusu. wanasema kuwa kutokana na matatizo ya fedha wanataka kupunguza watu. je katika kupunguza wanalipa ila kwa sasa hawana fedha hivyo muende mpaka watakapo pata...
  9. shegaboy

    Miaka 50 hakuna chakujivunia kama mbwai mbwai tuuuuuuuuuuuuu

    Hivi hii nchi ni nani alituloga? Najaribu kuufikirisha ubongo wangu nashindwa kuelewa kweli tarehe 9 disemba tunasheherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika jamni lakini tuko pale pale. kwa mfano 1. Shule watu bado mapaka leo miaka 50 tunashindwa kuweka kila shule madawati...
  10. shegaboy

    Ushato...... Wewe

    Mtoto alikuwa anamadidhia baba yake. baba john uwa ananiambia nivue nguo na yeye anavua kisha anaingiza mdudu wake kwangu.baba kusikia hivyo akafoka shenzi USHATOBWA WEWE DU!
  11. shegaboy

    Muungano Muungano Jamani tupeane nafasi

    Jana nilishangaa sana kwa wabunge wa CUF na CCM wakimshambulia Tundu Lisu kwa matusi na kejeli nyingi. Naomba watanzania wote tuungane tu jadili kwa kina swala hili na sio kukurupuka tu na kujifanya sisi ndio wajuaji sana katika huu muungano. 1. Tujiulize mengi je katika huu muungano kuna...
  12. shegaboy

    Mume wa mtu

    Dada moja bwana alikuwa anajifanya anajua kuchukua waume wa watu. dada si akaingia kwa jamaa mmoja, wakawa wanapika na kupakua dada fulu kujiachia. akawa anatangaza sasa kwa marafiki zake kuwa kapata mshefa anampa matumizi ya kufa mtu. kati ya wale marafiki zake kuna mmoja alikuwa anamfahamu...
  13. shegaboy

    Mvuvi na msomi

    Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu! umepoteza asilimia 20% katika maisha yako. akamuuliza una tv kwako akasema hapana umepoteza...
  14. shegaboy

    Msomi na mvuvi

    Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu! umepoteza asilimia 20% katika maisha yako. akamuuliza una tv kwako akasema hapana umepoteza asilimia...
Back
Top Bottom