Search results

  1. L

    Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    dada muogope kama ukoma huyo hakufai ! soma alama za nyakati mrembo !
  2. L

    Maharusi wa siku hizi!

    Duh! hata kufurahi siku yake ya harusi ni kosa! Kweli huyu mwanamke anashida sana! Ni wapi sasa anapotakiwa kufurahia ikiwa hata kufurahi siku ya harusi yake wengine wanaona ni ajabu!
  3. L

    Hajui kuhesabu siku zake

    Tumia kinga ndugu yangu wakati mwingine hii kitu si ya kuamini sana hubadilika mwezi hadi mwezi, kwa hiyo usimlalamikie mwenzio. Mkae chini muongee njia gani mbadala mtumie, kwani hata ulivyoiandika hapa unalaumu kwa swala ambalo wakati mwingine liko nje ya uwezo wake. Ukimpenda utamjali...
  4. L

    Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

    heheheeeee! mbona nyie mkienda fanyiwa massage na wadada hatulalamiki jamani..:dance:
  5. L

    Ipi ni sahihi katika mahusiano?

    Khaaaa! msamehe mwenzako jamani..nahisi alikuwa anaongea kama story nyingine mlizokuwa mnaongea na sidhahani kama aliongea akijua atakukwaza...! Samehe bwana shemeji
  6. L

    Women to women

    umesahau adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!!!! lakini yote hii inatokana na wivu na kutojiamini kuwa tunaweza kusaidia watu wote pasipo kuangalia jinsia yao.
  7. L

    Ulishamuona your first love?

    heheheeee mie wa namkumbuka wa kwangu nilikuwa darasa la 3 nilihamia shule hiyo aliyekuwa anasoma yeye na cha kuchekesha zaidi alikuwa ni monitor wa darasa basi mie nilikuwa siandikwi jina darasani na mtu yeyote akiniletea ujuaji darasani akaona lazima badae aandikwe msumbufu! mtoto nilikuwa...
  8. L

    Have You Ever.......

    ni ngumu sana kusema ukimbie ukweli japo ndivyo inavyotakiwa kuwa na wengi watakushauri upotezee but when it comes to reality its HARD! lakini ndo hivyo inabidi kujikaza kupotezea msije mkaumiza na wengine ambao watakuwa wanahusika kwa njia moja au nyingine..mapenzi upofu!
  9. L

    Current Vacancies

    Asante ndugu yetu kwa kutujulisha , ngoja nasi tujaribu bahati yetu!
  10. L

    Binti kanitongoza

    mimi hapo kaka sioni shida , cha kufanya kama na wewe unampenda lakini jenga nae kwanza mazoea kama rafiki kwanza ukiwa unamsoma tabia halafu baadae ndo muendelee kwenye nyanja nyingine kama ukiona mwaendana. Kila la kheri kaka yangu
Back
Top Bottom