Search results

  1. prickle

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nakubaliana na wewe mkuu Ila kwa kuongozea iko hivi muda mwingine haijalishi hata ukitumia VPN mtu anaweza kukutrack itategemea na aina ya VPN unayotumia iwapo utatumia VPN ambayo Ina save logs unapatikan vizuri Tena bila shida hii elimu ya VPN watu wengi hawaifahamu inabidi waielimishwe Mara...
  2. prickle

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Hakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger...
  3. prickle

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vile mashabiki wa arsenal wakiangalia UEFA
  4. prickle

    Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Huyu jamaa Ni kipajii aisee nimeangalia game zake Ni Moto anatembeza vichapo [emoji23][emoji23] Atari sasa kila nikiingia playok naenda kuangalia mechi zake tu...! Ashkelon Ni bingwa lakini anatembezewa motoo
  5. prickle

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    allypipi a.k.a pipi kifua uko wapi au bado unalilia chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia nzima ipo katika maombolezoo Nyumbu amekamatwa na majangili wamemchoma mishikaki[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. prickle

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kipindi hiki Cha kwanza Maguire ameongoza kupiga mipira ya vichwa kuliko hata ya miguuu..!
  7. prickle

    Squid Game imesukwa haswa

    Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya squid game na money heist.! Squid imegusa sana hisia/maisha yetu tunayoishi wameonesha nguvu halisi ya pesa kitu ambacho kwenye money heist hakipo na pia money heist Ile Ni plan kitu wanachokifanya ni utekelezaji tu kwa hiyo msije mkalinganisha kitu ambacho...
  8. prickle

    Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    Nimesikiliza bunge lakini sijaona mahali ambapo wamejibu hoja za gwajima..! Bado tuna safari ndefuu Tukutane jumapili kanisani kwa mwendelezo wa movie yetu!
  9. prickle

    Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

    Acha kutisha watu hamna kitu hapoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie ndio mahacker wa youtube
  10. prickle

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Tunashukuru kwa maboresho mkuu Ila 1. Ni lazima mtu utumie Google chrome at least ianzie version gani? 2. Vipi kuhusu watumiaji wa opera Mimi,Uc broswer, brave broswer n.k?
  11. prickle

    Wakazi wa Mbagala tuna tabu

    maana halisi ya MBAGALA Mba - Mbali Sana Ga - Gari tabu La - Lami mbovu
  12. prickle

    Inadaiwa nyoka akifa anaweza kufufuka kwa kupewa majani ya mti wa ajabu na nyoka mwenzie

    Nakumbuka zamani wakati Niko kijijni tulikuwa tumeenda kuvuna asali poroni kwa bahati mbaya Babu yangu aling'atwa na nyoka aina ya kifutu ndani ya dakika tano mguu ulibadirika na kuanza kuwa mweusi kiukweli dawa zipo mjomba yangu alikimbia Kuchuma majani Fulani mimeyasahau kwa jina Ila nikiyaona...
  13. prickle

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Chief's..! Hata katika dini zote tumeambiwa tutafute hata katika biblia unayosoma wameandika kabisa watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa mfano huwezi kujua dini Fulani ina Mila na desturi potofu mpaka uisome ile dini ndio uweze kujua mahali ambapo hakuko sawa..! Naamini katika mungu na dini...
  14. prickle

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Umenikumbusha Kuna documentary moja Inaitwa SECRET OF SYMBOL mpak lile duara la nyuma katika picha ya yesu nilivyojua maana yake nilichoka..!
  15. prickle

    Kama unafanya haya unayapkoteza maisha yako.

    Kuvaa barakoa hata ukiwa peke yako kwenye Gari
  16. prickle

    Msaada wa kuactivate IDM (Internet Download Manager)

    Unatumia version gani? Nikutumie patch zake
  17. prickle

    Anguko la Facebook liko karibu

    Ni kweli watu wengi hawalijui hili mi Ni mmoja wao waliokataa hapa nachosubili kufungiwa tu
Back
Top Bottom