mkuu umeandika haraka mno, kunywa maji kwanza uelezee vizuri., kwamba wanakamata gari likiwa car wash ama?
mana najua yono hua wanakamata ukiwa umepark vibaya.
sio kesi hata, chukulia mfano gari yako mafuta yapo very low, ukaenda sheli ukaweka lita kumi, ukatembea km 100 mafuta yakawa kama yalivyokua before (very low) means gari yako approximately inatembea 10km/l (100km/10ltr)
Mkuu nazingatia sana jinsi ya kukanyaga accelerator, na pia naendesha kistaarabu sana siajawahi kuzidi 3 rpm, hua naishia 2.5 ila mara nyingi ni 1.5 hadi 2 basi, labda hizo sababu nyingine nyingine...
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea...
Nyie jamaa, kuna mtu ameiona Thor, mi nimeiangalia jana sijaridhika nayo kabisa naipa 4/10 yani ni tofauti kabisa na zilizopita, fiction zimekua za kipuuzi puuzi tu..
Amen Amen, Mungu amekuepusha na jambo kubwa sana, kwanza kabisa mshukuru huyo rafiki yako, pili nenda katoe shukrani kanisani/msikitini.
kama ipo ipo tu
mzee bidhaa zinauzwa kwa bei ya sokoni na sio bei uliyonunulia, mfano wewe ni muuza machungwa bei ya sokoni ni sh 100 kwa chungwa, umenunua tenga moja kufika ukaanza kuuza, na baada ya wiki bei ya sokoni ikapanda machungwa yakawa sh 200, hautasubiri hilo tenga liishe ndo upandishe bei, ila...
Nakazia hapa, wiki hii kuna maombi ya staili hii hapo K.K.K.T Kimara Korogwe kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili na nusu ni kila siku yataendelea hadi wiki ijayo hadi pasaka ukipata mda njoo nae hutajutia wala hutatumia hata senti.
Dah! ila tunapoelekea sijui, yani mdada unajua kabisa huyu kaka ni rafiki wa mmeo nje ndani na ukweni alikuja bado unamvulia chupi tena sio mara moja, bado na mkaka unajua kabisa huyu ni mke wa rafiki yangu kipenzi bado unamtongoza na unavua boksa na hapo bado jamaa mnaendelea kua marafiki, hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.