Search results

  1. Neybright

    I need a matured women

    Kaka ningekuja pm ila tatizo lugha hatutaelewana,ngoja niwaachie nafasi wasomi wenzio.
  2. Neybright

    Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Nimekupenda au nimependa comment yako sijui hata Missing you
  3. Neybright

    Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Unahekima sana wewe, Mungu akuongoze siku zote
  4. Neybright

    FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Leo pagum sioni matumaini kabisa
  5. Neybright

    How mnaweza ku date na last born?

    Nzuri tuu, vipi wewe mnanipa shida kuwatambua jamani
  6. Neybright

    Sura zetu hutuonea haya na kutusuta

    Kuna ukweli mwingi sana hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Neybright

    Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

    Kwanini ule kwa jirani sasa? Kwanini usile nyumbani kwako?
  8. Neybright

    Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Nadhani hivyo, itakuwa yeye kalenga kwa watu wenye vipato vya juu na vya kati, na sio wenye vipato vya chini
  9. Neybright

    Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Mkuu umecomment as if hujui kama asilimia kubwa ya watanzania ni kipato cha kawaida sana, Inawezekana wewe mwenzetu umetoka familia bora mno mpaka hujui Hali halisi ya watanzania wengi
  10. Neybright

    Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Sijui tunakwama wapi aiseeh, na issue sio kwamba hawajui au hawaelewi kilichosahihi kufanyika laah asha wanajua kila kitu sema tuu hawataki
  11. Neybright

    Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

    Yanga wanajielewa sana aiseeh, msimamo walioonyesha walau umenipa auheni
  12. Neybright

    Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

    Hapo ndipo shida inapoanzia
  13. Neybright

    Tusubiri mechi kati ya Simba Sc na TFF hiyo saa moja.

    Hao viongozi wa tff wangewajibishwa kutokana na situation hii
Back
Top Bottom