Search results

  1. O

    Kutuma gari kwenda Dar kutoka USA

    Naomba kama kuna wenye uzoefu wa kutuma gari kutoka USA kwenda Dar wanisaidie ni kampuni ipi au zipi ni nzuri hasa kuzingatia gharama. Je, ni bora kununua gari Japan kuliko kutuma gari unayotumia USA?
  2. O

    Kusafirisha gari kutoka USA hadi Dar

    Wanajamvi, naomba ushauri hasa wa gharama ya kutuma gari Dar kutoka Chicago USA.
  3. O

    Natafuta used landcruiser ambulance kutoka Uarabuni

    Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika. Asanteni sana.
  4. O

    Msaada kuhusu kijiji cha Nkungi, Singida

    Ninaomba kufahamishwa kijiji cha Nkungi kiko jimbo gani la Iramba na ni nani Mbunge. Asanteni sana
  5. O

    Je huu ni uungwana Kikwete kutozungumzia zile Bilioni 300 zilizo Uswisi?

    Baada ya kutafakari kwa muda mrefu ile hotuba ya JK aliyosema kuwa madai ya madakitari na walimu hayatekelezeki kwa sababu serikali haina uwezo imenilazimu leo niulize: Je, huu ni uungwana kwa mheshimiwa kukaa kimya baada ya kujulikana kuwa kuna bilioni 300 za mafisadi kule Uswisi? Je...
  6. O

    MOH kusomesha mtoto wa mkubwa UK ni uungwana?

    Ndugu wana JF, Ninajua kuna maswala mengi ambayo yako mbele yetu kwa ajili ya kuyajadili na kutafutia ufumbuzi. Lakini nimesikitishwa sana na list ambayo nimeona kwenye website ya wizara ya afya inayoonyoshe majina ya postgraduate students ambao watakuwa sponsored na wizara ya afya. List...
  7. O

    It took 40 million years to build our nation but one stupid fool is destroying it (Lucky Dube)

    Listen to what Lucky Dube is saying. This is exactly waht is happen in our beloved country. YouTube - ‪teach the world- lucky dube‬‏
  8. O

    Hali zenu wanaJF

    Mimi ninaitwa Olecranon mtoto wa mzee Olecranon Fossa (sr). Nimekuwa ninafuatilia majadiliano katika forum hii na kuvutiwa sana na jinsi wengi wenu mnatoa michango mizuri hasa kuhusu hali ya taifa letu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili niweze kupata fursa ya kuchangia mawazo yangu. Idumu JF forum
Back
Top Bottom