Search results

  1. a man of wisdom

    Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    mkuu mm ndo nimeiona leo thread aisee naomba nisiadie connection ya hao suppliers au machimbo ya china nina uhitaji sana mkuu plzzzz haswa simu, tv na electronics mbali mbali, mikoba, printers na viatu vya kike namba yangu ni 0769939879
  2. a man of wisdom

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Hongera sana chief Mungu mwema kweli aisee nakuomba uwe mentor wang chief kwa baadhi ya miongozo nitakayokuuliza mkuu natanguliza shukran
  3. a man of wisdom

    Diaspora Hawatoi connection?

    this is massive tunaendelea kupata madin
  4. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    standard kbx ambapo mpk mfamasia unamlipa humo humo anza na 20mil mpk 25mil boss
  5. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    laki tano hamna mkuu bei ni 1.1mil
  6. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    lkn c umeona roles nazofanya cyo nakupa lesen na kusepa yaan mpk vijana wa kusipense ntawafanyia interview mm ili kupata watu compentent
  7. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    ndiyoo mkuu ndogo sana etii???
  8. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    ndyoo unaweza kuanzisha ila angalau kodi ya pango ijitegemee kabisa icwe ndan ya hyo 15mil maana kwny maandalizi ya pharmacy premices kuna peleke hela nying sana kwa 15mil yes unaweza kuanza mkuu
  9. a man of wisdom

    Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

    Husika na kichwa cha habari, mimi ni mfamasia niliehitimisha mafunzo ya utarajali katika hospitali mbili tofauti hspa nchini Tanzania yaan Muhimbili National Hospital-Mloganzila pamoja na Ocean Road Cancer Institute zote zikiwa Dar es salaam. Nasubiri Leseni yangu ya taaluma ambayo inaweza...
  10. a man of wisdom

    Nimesoma uhandisi wa dawa, natafuta kazi

    Nimeshauri tuu kwa kidgo ninachokijua boss unaweza kuongeza au kukosoa boss
  11. a man of wisdom

    Natafuta tv flat led TV

    Asantee broo
  12. a man of wisdom

    Natafuta tv flat led TV

    Asante sana.kwa walionielewa 350k.means nataka.ikiwa used tena nikasema brand yoyote,wakuu najua 43" huwez enda dukan upate natafuta used na watu wapo wanaouza japo kwa changamoto ama anataka ku upgrade hvyo yan.ila kwa 32 brand yoyote ila hapa ntatoa 220k icwe na shida yoyote but used
  13. a man of wisdom

    Nimesoma uhandisi wa dawa, natafuta kazi

    As.processional Sorry kma.ntakukwaza broo but napebda kujua ulishawahi kujiuliza kuwa hyoo professional yako ya Pharmaceutical engineering ina direct link na pharmacy profession ambayo iko chin ya pharmacy Council bro????? Mm nakushauri kma pharmacist AnZa hiv fika ofis za pharmacy Council...
  14. a man of wisdom

    Natafuta tv flat led TV

    NIMEPANDISHA DAU WAKUU NATAFUTA TV FLAT LED TV NCHI 43 BEI YANGU NI 380K IKIWA SMART TV DAU LANGU NI 450K CASH (SMART INATEGEMEA BRAND DAU LINAWEZA KUPANDA) NAMBA YANGU NI 0769939879
  15. a man of wisdom

    INAUZWA DStv Decoder na dish lake linauzwa

    Kama.naweza kupata tv pia nicheki kwa 0769939879
  16. a man of wisdom

    INAUZWA DStv Decoder na dish lake linauzwa

    Tv yake hauna maana mm nataka na tv kbx nchi 43 au 32 boss king'amuz ntalipa 50k
  17. a man of wisdom

    Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

    Inahitajika king'amuzi cha startimes Njoo inbox 0692804893 au 0769939879
  18. a man of wisdom

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Inahitajika cm ya 50k smart phone tecno au brand yoyote iwe makini tuu location ukonga dar es salaam Namba 0692804893 au 0769939879
  19. a man of wisdom

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Inahitajika cm ya 50k smart phone tecno au brand yoyote iwe makini tuu location ukonga dar es salaam Namba 0692804893 au 0769939879
Back
Top Bottom