Tukiacha roho mbaya,ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe na pia kwa wageni, kukubali kukosolewa na kujifunza,kuacha kujiona niwabora kuliko wengine, kutumia wingi wetu wa makabila na lugha zetu kama utambulisho na si ubora,kuacha kulalamika kila wakati, kujituma na kujiamini hivyo vita tuondoa hapa...
Thamani ya eneo ,mfano ,kodi yaeneo la biashara kama petrol station mjini ni 20million kwa mwezi lakini eneo kama hilo nnje ya mji ni 2 milion .
Hio ndio husababisha bei kua kubwa .
Na thamani hupanda kutokana uwepo wa wateja,kwamaana nyengine mjini wateja ni wengi kulinganisha na nnje ya mji.
Ingiza maji ya uvuguvugu kwenye sikio lililoziba,
Geuza shingo upande wa pili ili sikio lililo na maji lielekee juu kwa dakika kama mbili hivi,
Baadae gandamiza kiganja cha mkono kwenyesikio lenyemaji ,inamisha chini sikio lenye maji huku ukiwa umeliziba kwa kiganja ili maji yasitoke.
Ondoa kwa...
Mkuu mawazo yako yanawakilisha wanadispora wote wa Tanzania. na kama wanadipora wengetakiwa kujieleza mmoja mmoja basi wengi watakua ni kama wewe wanazi penda nchi zao za pili kwa sababu ya heshima wanayopata kuliko wakiwa katika nchi zao walizozaliwa.
Na naamini serekali ikiyachukua na...
Mimi si mjuzi saana ila nitakujibu kwa hichi nitakacho jaaliwa.
Kwanza nianze na msemo Huu MTI WENYEMATUNDA NDIO ULENGWAO.
Uislam ndio ulovuma na ndio unaopigwa vita zaidi duniani, kwahio mtu yoyote akiwa na jina la kiislam ataitwa muislam hasa akifanya maovu.
lakini kiukweli uislam hauko...
Mkuu usipate shida ni kujiungana na iclaud tu na detail zako zitabakia siku zote na ni salama zaidi hata ukibadilisha simu nyengine hazitapotea au simu kuibowa .
Na mimi napogia msumari maneno ya walionitangulia.
Hata hawa Magufuli na nguvu zao wawepo kumi juu ya kile kiti cha Urais basi hakuna mwenye uthubutu wa kuwakatia umeme Zanzibar.
Sasa wasimamizi wa sheria wako wapi?
Kama ulivyothibitisha taa sio tatizo,kwasababu yapo maeneo matumizi ya taa hizo yanafaa, kwanini wasimamizi wasifanyekazi zao,badala ya kuzikataza taa kabisa.
Viongozi wetu hawana busara katika kutatua matatizo.
Hii ni Mareks,kama alivyoeleza mchangiaji mmoja hapojuu, ugonjwa hauna tiba una kinga tu. (Chanjo ya mareks inatolewa kuku akiwa na umri wa siku moja.)
Mkuu kwanza nikupingeze kwa makala yako nzuri.
Ila mimi niko katika kufanya utafiti na hawa kuku wa kienyeji na nimechagua kuku 7Majike na jogoo mmoja. Nimefanikiwa kwa mwezi wa nne sasa kupata mayai 5 kila siku yakishuka ni 4 kuku hupunzika kidogo na kuendelea siwalazishii naweka mayai kwenye...
Uandishi uliotumia hapo hauonyeshi kua ni maneno ya Mh Jumbe kua Maalim Seif ndio Msaliti.
Kama wewe hukuongeza yakwako basi Muandishi Hajui kuandika na kutumia alama za maandishi.
".......,........"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.