Search results

  1. measkron

    Hi

    Yaani acha kabisa
  2. measkron

    Hi

    Mambo vipi? I miss everyone
  3. measkron

    Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

    Labda sio CCM tunayoifahamu, kina Nasari Mbona leo wana vyeo? Kina Patson Katambi wote wanapeta tu
  4. measkron

    Nimeshawishiwa, nimeshawishika na kukubali kuwa Tundu Lissu ni mgombea sahihi wa Upinzani mwaka huu

    Forget about level playing field. That does not exist at these times.... and they will win again.... Lord have mercy on us
  5. measkron

    Uchaguzi 2020 Inavyoonesha CHADEMA na ACT-Wazalendo hawataungana. Nini kimekwamisha?

    Na ndio maana CCM itatawala milele, wameshajua upinzani ni njaa tu na hakuna maslahi mapana ya taifa C:c Zitto
  6. measkron

    Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

    DocJayGroup, Usiwe mwepesi kuhukumu.... alikuwa known hypertensive on regular medication. Alijisikia ghafla akiwa na maumivu ya kifua na kushindwa kupumua.... likely heart attack ambayo hata wewe mkeo au mumeo can’t do nothing na hapa bongo heart attack ni highway to the grave kwa huduma za...
  7. measkron

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Wenyewe walitegemea clinical symptoms na sidhani kama walielewa kuwa ukiwa na antibodies ina maana at one point ulipata exposure.... its more of scientific proof than political maana mwanasiasa yeye ataka sifa tu kuwa hakuna ila watoto wanaozaliwa na microcephaly wanaweza kuwepo... too sad
  8. measkron

    Dr. Tulia Ackson ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais kutoka Mkoa wa DSM anafanya nini kwenye ziara ya Rais Mkoani Mbeya?

    Mkuu wala usicheke that’s the plan and no one can stop them, wana support ya polisi, jeshi na mahakama..... what do you have?
  9. measkron

    Thousands sign petition to oppose Parliament’s decision against the CAG

    Mkuu hiyo link inasema something went wrong huenda imeshafyekelewa mbali na wataalam
  10. measkron

    Freeman Mbowe: Ndani ya gereza la Segerea kuna ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja, kukosekana kwa mahitaji muhimu na msongamano wa watu

    Hallucinations, circumstantial thinking disorder Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. measkron

    CCM wacharuana bunge live

    Sio kuuelewa tu bali hautatimia
  12. measkron

    Lissu Alert: Ratiba ya Lissu na Watanzania USA

    Your name explains what you have 🤣🤣🤣!
  13. measkron

    Lissu Alert: Ratiba ya Lissu na Watanzania USA

    Circumstantial thinking disorder? Major depressive illness currently hypomanic without psychotic symptoms?.... then you need to relax kwani hizo ziara wewe zinakuuma nini? Let the man be... wapiga kura wake ndo watakaoamua 2020 and if you are one of them it will be the time to make your...
  14. measkron

    Mapya: Kumbe Ndugai ameikalia ripoti ya ukaguzi maalum wa upotevu wa hela za umma 1.5 Trilioni

    Nod usishangae ukiona watu wana circumstantial thinking disorder
  15. measkron

    Jerry Muro: Ninafunga Bar zote Arumeru nitawapangia wanywe nini

    Ukizingatia bia ndo inaongoza kwa kodi
  16. measkron

    Ado Shaibu amshtaki Rais Magufuli Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Tuko busy na kujenga SGR na kununua ndege ya wananchi wa kigoma is not our priority
Back
Top Bottom