Search results

  1. M

    Sorry wanaJF: Nahitaji kuandaa 3M NaOH kwa ajili ya shughuli fulani

    Naomba mnisaidie wanaJF kuweza kuandaa hii soln ya (1) 3M NaOH in 500ml, (2) 0.5% Tween-20 from 1%Tween-20 Thanx
  2. M

    Walimu watangaza mgomo nchi nzima

    Mkuu Pota. Nimeipenda avatar yako na kauli yako ya kama mume wa salama kondo...... (salma). Siyo siri. Hawa jamaa wa CWT wanaudhi kweli. Wapuuzi wakubwa. Vitisho vingi lkn wapi masikini ya Mungu. Aibu kubwa kwa walimu. Ushauri wa Gobret ni wa mbolea. Fanyeni mgomo mpate haki au kama hamuwezi...
  3. M

    Watanzania tuache hizi hulka zetu: Si dili. Watanzania tunaangamia. Taifa linaangamia.

    Watz. huwajui vizuri. Baadhi yao ni kama kondoo wa Maasai. Hawaoni mbele wala nyuma. KAzi yao kutia tick kwenye kisanduku cha CCM wakati wa kupiga kura. Mabadiliko ya kweli huanza na mtu mhusika. Usitegemee mabadiliko kama tunataka yaanze kwa wengine. Kuna sumu nyingi pandikizi za CCM. Na sasa...
  4. M

    Chadema: Kaza buti haya maandamano yana tija

    Naomba kutumia nafasi hii, kuwasihini wapiganaji wote wa CHADEMA kuwa wasidhani kuwa kukubalika kwa CHADEMA kwa Watanzania wote (makundi na rika zote) ni jambo rahisi. Wazidi kujitangaza kwa njia hii ya maandamano. Japo, kwa wapinga maendeleo watadhani ni kupoteza muda bali mimi naamini...
Back
Top Bottom