Search results

  1. S

    Dkt. Mathayo na Ana Kilango: Same "Wachina" wa Tanzania mpaka "VILAZA" wa Kilimanjaro

    Dr . David mathayo yeye anahusika moja kwa moja katika kudhoofisha maendeleo wilaya ya same. Huwezi kuwa mbunge na kujikita zaidi kuendeleza kampuni yako ya ujenzi na kukodisha vifaa vya ujenzi na kusahau jimbo lako namna hii. Kwanini tunasema anahusika moja kwa moja na hatufai same: -shule...
  2. S

    Chuo kikuu cha dar es salaam

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu, nimeona mwanga na nitafanya hivyo! Ahsanteni sana !
  3. S

    Chuo kikuu cha dar es salaam

    Wadau naomba mnisaidie, nimememaliza chuo kikuu lakini wanakataa kunipa cheti changu kwasababu -nimepoteza vyeti vya kidato cha nne na cha sita. Je ni tumie njia gani ili Chuo kikuu cha Dar es Salaam kinipe cheti changu? Je kuna njia yoyote ya kisheria ninaweza kuitumia kuwabana ili niweze...
  4. S

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Viongozi wasio kwenye makundi yeyote, wachapa kazi na wenye uchungu wa nchi ndio wanaweza kutufaa mwaka 2015 kutuongoza. Kiongozi kama Lazaro Nyalandu- naibu waziri wa viwanda na biashara anasifa na anafaa kuongoza nchi akigombea kwa chama chochote atapeta na hana mpizani...!
Back
Top Bottom