Search results

  1. J

    Waliowahi kuzamia Uwanja wa Taifa Zamani tukutane hapa

    Niipanda ukuta taifa nje hakukuwa na askari, wakati wa kuingia sasa nimetanguliza miguu kumbe chini kuna askari the rest ilikuwa story nzuri sana! Nilikuwa mkimbiaji mzuri sana, nafikiri yule askari tukikutana leo atajua aliyemuona siku ile hakuwa binadamu maana nilitimua mbio zisizo za kawaida...
  2. J

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Ni kweli ukiangalia ile simulation yake kinakata kona na kurudi baharini na njia ya kurudi ni Mtwara although hakitakuwa na nguvu kama wakati kinaingia nchi kavu
  3. J

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Mkuu BBC na CNN haujaona? tuwe serious kidogo tu
  4. J

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Wananchi wa Tanzania tumekuwa na mazoea mabaya kila kitu tunafanyia utani hata vile ambavyo ni serious, hii sio JF ya zamani wakati watu walikuwa wanaungana kwenye serious issues kama hii nakuwa kitu kimoja
  5. J

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Mkuu fanya simulation ya hiyo attachmnet yako uone, hakiji lakini madhara yako mengi, upepo mkali na mvua kubwa kwa siku tatu zijazo
  6. J

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Mkuu kuna vitu vya kufanyia mzaa lakini wakati wenzio wanaumia wewe unafanya mzaa nafikiri kibinadamu sio sahihi, wakati mwingine tunahitaji kuwa serious na serious issues sio kila kitu ni utani
  7. J

    Umewahi kutapeliwa baadaye ukaishia kujicheka ulivyo Mjinga ukawapa gwala Matapeli?

    Kuna mmoja amenitumia sms kuwa nikitaka kujiunga na Freemanson nimpigie, nampigia apokei nataka nitampeli yeye Niliwahi fanikiwa mmoja alipostuka akaomba nifanye nae kazi
  8. J

    Happy equinox day

    Mkuu kulikuwa na kitu unataka kukisema kuhusu kilinge na siku ya leo naona umeamua makusudi kukaa kimya! Ebu kiseme ili tujifunze
  9. J

    Tribute to Ruge Mutahaba: A smartest, strategist, silent Politician in Tanzania! Aliyebadili siasa za Tanzania

    Mkuu hivi unafikiri wanachana wa CCM hawana haki ndani ya nchi hii? ebu tuwe wakweli, nchi ya watu wote na sio ya wapinzani peke yao. Wakati mwingine sentiment ni mbaya kuingiza kwenye issue za kitaifa
  10. J

    Tribute to Ruge Mutahaba: A smartest, strategist, silent Politician in Tanzania! Aliyebadili siasa za Tanzania

    Pasco yuko sahihi, Ruge alikuwa muhimu sana kwenye siasa za Tanzania, ameshape vijana wengi kuweza kushiriki kwenye siasa wakiwa wamependa wenyewe au hawajapenda Wale wa vyama vya upinzani tujifunze kitu kimoja haina maana kila aliyeko CCM hawapendi Watanzania, kumbuka CCM pia ina Watanzania...
  11. J

    Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.

    Pascal Mayalla siku nyingine uandike kwa wepesi unasababisha watu hawakuelewi humu
  12. J

    Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Hapa ndio mtaona umuhimu wa kupoitia upya mitaala ya elimu zetu, kama graduate analalamika kazi hakuna, wa darasa la saba atafanyaje? Mitaala inatakiwa iwajenge graduate ili wakimaliza wajiajili na waajili darasa la saba! Ni wakati sasa serikali kubadirisha mitaala yetu, tuachane na mitihani...
  13. J

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ushahidi kuwa Dunia ni duara uko wazi kabisa, tumia jua! Linaanza kutoka mashariki lakini haliwaki dunia yote linawaka kidogo kidogo na kuzama hivyo hivyo Ingekuwa flat lingekuwa linawaka kwa wakati mmoja au linazama kwa wakati mmoja, nafikiri wanaosema ni flat wanaacha hii evidence makudi...
  14. J

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ndugu epuka kusema kitu ambacho ukijui! marubani wakiwa angani ile bending iko clear wala hauhitaji kuambiwa kama hivi, tuseme na kutetea kile ambacho tunakijua bila kuingilia professional za watu! Hata kama umepanda ndege tu bending ni kitu cha kawaida sana kukiona bila hata kuambiwa
  15. J

    Dar: CHADEMA wazungumza na wanahabari kuhusu mauaji, barua ya Msajili na mahabusu wenye majeraha ya risasi

    Halafu mkiitwa Shithole country mnapiga kelele, resoning capacity ni zero. Ebu tuachane na siasa za vyama tujenge nchi yetu, ujinga wa vyama ndio utatufanya kuendelea kuwa masikini na kuuana kama sasa!
  16. J

    Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    Kwa aliyekaa Ilala miaka ya 1985 kufikia 2000 anajua Club ya BOMU hawaq kabla hawajavuta bangi hawaingii uwanjani, na wakiingia uwanjani wao wanajua kufunga tu, kufungwa mpira ndio umefika mwisho. Uwanja wao ni pale ilala mabembeani mtaa wa ngoma, sasa siku wacheze na Ashanti wauza mitumba, hiyo...
  17. J

    Leo matapeli wa simu wamechachamaa

    SHEMEJI MGANGA WA KIENYEJI ALIYENIPA DAWA YA MVUTO WA BIASHARA ZANGU NA MKE WANGU KAPANIDSHWA CHEO KAZINI NAMBA YAKE NI 0765439641 AMESHARUDI KUTOKA SHAMBA MIMI WEWE MBWA GANI KAISHIA
  18. J

    Leo matapeli wa simu wamechachamaa

    SHEMEJI NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA YA KIJANA AMBAYE BABU YAKE ALINIZIA RUPIA NILIYOWAUZIA WALE WAZUNGU NAMBA YAKE NI 0785632099 MPIGIE ANA PASI YA UJERUMANI Mimi: NATAKA RUPIA AKAPOTEA HAKURUDI TENA
Back
Top Bottom