Search results

  1. B

    Utabiri: Kuna kigogo au vigogo 'watagongwa' na vichwa vya treni vinavyopigwa danadana!

    Hizi kazi za kuajiriwa hizi! Changamoto kwelikweli
  2. B

    Rais Magufuli aamua kutuliza joto la vita vya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya

    Mimi nafikiri tuendelee na jino kwa Jino tu. Magufuli wee kandamiza tu wataomba poo wenyewe
  3. B

    Zitto apingana na Mnyika na Lema

    Upinzani sio kupinga kila kitu acheni ushamba
  4. B

    Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

    Tutawanyoosha we subiri tu. Nahapo ndio watakapojua kwamba giant Wa east Africa ni nani
  5. B

    Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

    Wizi haukubaliki. Malinzi kwaheri.
  6. B

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Kati ya Nissan extrail Mazda tribute rav 4 old model na kluger IPI ni gari bora kwa mazingira yetu Mzee
  7. B

    Alichokisema Spika Job Ndugai baada ya wabunge kususia futari aliyoandaa

    Kuna tatizo, yeye kama kiongozi anapaswa kulitatua
  8. B

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kariakoo mtaa gani aisee? Nakitafuta sana Mimi
  9. B

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kariakoo sehem gani?
  10. B

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Anakudanganya huyo, kk huwezi pata Kariakoo. Kitabu kinachopatikana ni njama ndio kimejaa kibao
  11. B

    TRA mnahusika na wizi huu wa wafanyabiashara Kariakoo?

    Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax...
  12. B

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

    Malinzi sifuri kabisa. Tena zero la masikio
  13. B

    I Miss You- Diamond Platnumz

    Hiyo ya kwanza safi, hii yapili na savage sujaisoma kwakweli
  14. B

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Uongo mtupu na kuna watu wameshapigwa sana kwa utapeli huo
  15. B

    Tanzania sasa hivi ndiyo nchi ngumu kufanya biashara

    Ukitaka kula lazima nawewe uliwe Mzee. Kwa ulimwengu Wa tatu ukitaka mambo yaende lazima uliwe kidogo
  16. B

    Chonde chonde Mh. Rais, usiwasahau wafuatao kwenye Timu ya mazungumzo

    Hashim rungwe James mbatia halima mdee
  17. B

    Why Qatar is the next target.....

    This is very true, Qatar is in another level as compared to most of Arab countries. May Allah stand with them and make them survive against any evil plan from the enemies.
  18. B

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Hili gazeti fungia kabisa okibidi na mmiliki afutiwe. Leseni kabisa
Back
Top Bottom