Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi?
Mwenye...
Habari wanabodi,
Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
Habari wanajamvi.
Nina mpango wa kuanziasha biashara ya kutengeneza matofali na pavement blocks. Sasa nimepata chimbo moja lina mashine safi sana kwa hii kazi. Tatizo langu sijawahi kuagiza mashine kutoka nje, nahitaji kujua gharama za kodi zinakokotolewaje, ili nifanye maamuzi ya busara; kama...
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu huu utaratibu wa kukamata na kushitaki mtu kwa madai ya kumpa mimba mwanafunzi. Tuachane na wale wanaobaka na kumpa mimba mwanafunzi, ambao tayari wana kosa la kubaka, then hili la kumpa mimba linafuatia; mimi naongelea kesi kama mwanafunzi alikuwa na...
Wana JF,
Ningependa kufahamu, nchi kama Rwanda, Burundi, Zambia etc zinasafirisha vipi silaha nzito nzito kama vifaru, magari makubwa na silaha nyingine kubwa kubwa.
Leo katika pita pita zangu magazetini, nikasoma habari gazeti la Mwananchi yenye kichwa "Lissu awatoa jasho AG, Mhagama"
Mwisho wa habari hiyo kuna maneno haya
"Hata hivyo, muswada huo haukupitishwa kutokana na akidi."
Nilipofungua gazeti la Habari Leo, habari hiyo hiyo imeandikwa kwa...
Kiujumla wanawake wana mahitaji ya tofauti hasa hasa katika vipindi viwili ambavyo ni unique to women only.
1. Wakati wa hedhi
2. Wakati wa ujauzito.
Swali langu ni je, katika jela[prison service] zetu Tanzania, wanawake wakiwa kwenye hivi vipindi, wanapata huduma zipi za ziada. Kwa...
Kulingana na taarifa za BBC,
Huko Marekani wamekamatwa watu walioshiriki katika kupanga na kutekeleza mpango wa kupindua serikali ya Gambia wakati rais Yahna Jammeh akiwa ziarani nje ya nchi.
Kitu kilichonigusa zaidi ni ile namna ambavyo watu hawa wenye asili ya Gambia wametumia uraia pacha...
Nimekuwa nikishuhudia mashirika/idara za usalama za nchi nyingine particulary US and UK zikitoa baadhi ya classified intelligence documents baada ya kipindi fulani. Mfano mzuri ni documents za Area 51, ambazo zimekuwa desclassified mwaka 2013.
Najua Tanzania Intelligence Community[TISS, CMI...
Hatimaye leo imepitishwa sheria mpya Jimboni California katika juhudi za kupambana na ubakaji hasa katika vyuo.
Kiufupi ni kwamba kama mwanamke hajasema Ndio kwa maneno au kwa lugha ya ishara("Nodding") au kumsogelea mwenzi wake "Consent can be non verbal, such as a nod of the head or moving in...
Tumesikia mara nyingi sana visa vya wanaume kuwaacha wanawake kwa dharau na vijembe vingi, halafu baada ya muda mfupi, anarudi huku anapiga magoti kuomba msamaha. Hili halipo kwa wanaume tu hata kwa wanawake lipo, lakini sitaongelea upande wa wenzetu,[Women and children can afford to be...
Katika pita pita zangu mitandaoni nikaona ukurasa wa facebook wa Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa.
Katika moja ya kurasa zake kuna moja inayozungumzia personal achievements, naomba ninukuu point mbili muhimu
Point ya kwanza
- I had been privileged to take part in defending our state...
Wanawake kutwa kucha kulalamikia wanaume sio waaminifu!! Charity begins at home, ni wanawake wangapi wenye mahusiano na wanaume wenye mahusiano na wanawake wenzao huku wao wakijua tena in worst cases watu wenye familia?
Why should it be wanaume tu kulaumiwa, kwa nini wanawake wasianze wao kwa...
Kama kuna kitu ambacho huwa napata tabu kukielewa ni hiki cha mtu kumrudia X wake hasa baada ya kumuacha kwa vituko vya kila aina.
Kuna kesi moja ilitokea kati ya binti na jamaa yake. Walikuwa wapenzi kwa miaka karibu 10, kutoka form II mpaka baada ya kumaliza chuo na zaidi ya hapo. Siku moja...
Acha video iongee yenyewe.....
http://youtu.be/g5izujJGL0M
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=g5izujJGL0M
CC... kwa wapenda kula vya watu wote...
If only women would treat their lovers/partners just like the way they
want other women to treat their brothers, uncles,sons etc
If only men would treat their lovers/partners just like the way they want other men to treat their sisters, aunts, daughters etc
The world would be a very...
Hiki kisa kilitokea Jamuhuru ya Czech mwaka 2007, sijui ni watu wangapi humu waliwahi kuisikia but it's worth reading
Two baby girls mistakenly swapped at birth in a Czech hospital have been returned to their parents in time to celebrate their first birthday.
The girls were born 18 minutes...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, William Kusila amesema kuwa Tanzania inaelekea kuzimu na kwamba hakuna namna tena ya kukifanya chama hicho kikawa na heshima.
Kusila ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, alishindwa kutetea nafasi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.