Search results

  1. Chakunyuma

    Msiahidi Tendeni-Ushauri wa Jenerali Ulimwengu Kwa CCM-Wataufuata?

    Msiahidi Tendeni JUMAMOSI iliyopita chama-tawala, CCM, kilionyesha kuwa kumbe bado kinaweza kukusanya maelfu kwa maelfu ya wanachama na mashabiki wake na kikawaweka kwa muda wakisikiliza hotuba baada ya hotuba za serikali wakieleza walichokifanikisha na wanachotaraji kukifanikisha katika kipindi...
  2. Chakunyuma

    Kwanini Ikulu itujulishe taarifa za siku zilizopita kama taarifa mpya?

    Muda mfupi uliopita nimesikia kwenye redio moja ya Fm hapa Shinyanga kuwa Mh.rais amemteua makamu wa rais Mh. Bilal kuwa mkuu wa chuo cha Nelson Mandela na Mh David Mwakyusa kuwa mwenyekiti wa chuo hicho na uteuzi huo umeanza tarehe 05/04/2012 Maswali ya kujiuliza 1. Kwanini...
  3. Chakunyuma

    Tanzania yapewa tuzo ya ushindi dhidi ya maleria

    Imepewa tuzo hiyo kutokana na juhudi zilizotukuka zizofanikisha ushindi dhidi ya maleria. Tuzo hiyo imetolewa Addis Ababa na kupokelewa na mh rais. Source tbc1 My take je ni kweli tumeshinda vita dhidi ya maleria kwa kugawa vyandarua huku vyanzo vya kuzaliana vikiendelea kuwepo jirani ya makazi...
  4. Chakunyuma

    Viongozi wetu na 'title' bandia

    Nimekuwa ninajiuliza kwa muda mrefu ni sababu zipi zinazopelekea kiongozi kujipachika title la elimu la bandia? Hii ikanipelekea kufanya kautafiti kadogo kuona viongozi wa nchi zingine hali ipoje nilichogunduaa hali ipo tofauti sana.Nchi za wenzetu viongozi wao ni very honest kama hajasoma sana...
  5. Chakunyuma

    Kuna mkutano wa Chadema stendimpya Shinyanga

    Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo
  6. Chakunyuma

    Kwa nini raisi wetu hatembelewi?

    Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo. Watu ni wengi pia samahani kwa kuwa title lilikuwa tufauti na maelezo lakini nimerekebisha.
  7. Chakunyuma

    Kwanini rais wetu hatembelewi?

    Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji). Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries? Hii inatia shaka...
  8. Chakunyuma

    Uchaguzi mdogo Zanzibar

    Wote tunajua kuwa kuna mbunge kutoka Zanzibar amefariki ila sijasikia uchanguzi kule utafanyika lini! Kama utafanyika basi itakuwa nafasi nyingine adimu kuwaelezea wazanzibari wanachokosa katika Uongozi wao yaani viongozi bora na sio viongozi wachumia tumbo waliopo sasa. Kwahiyo ninataka...
  9. Chakunyuma

    Hii ni mbaya na hatari kwa mustakabali wa nchi yetu

    Nilikuwa nasikiliza Sauti Amerika wameripoti kuwa katika kata moja huko Igunga wakati watu wanaendelea kupiga kura lilipita gari la sisiem likatangaza eti mgombea wa chadema amejitoa hivyo wakawaomba wasimpigie kura pia wameendelea kuripoti kuwa kuna kata nyingine wasimamizi walikuwa...
  10. Chakunyuma

    Wassira ashitakiwe

    Polisi juzi walinukuliwa na gazeti la Mwananchi kukiri kwamba hawakuwa na taarifa kuhusu kufanyika kwa mkutano ambao ulipelekea kukamatwa kwa wafuasi wa CHADEMA, tunajua ni kosa kufanya mkutano bila kujulisha polisi sasa kwa kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wanakamatwa kwa kosa hilihili...
  11. Chakunyuma

    Je hii ni kweli?

    Nimesoma Tanzaniadaima jumatano makala ya Bakari Mohamed isemayo 'Raisi Kikwete amesahau wajibu wake?'' ameeleza mengi ambayo kimsingi nakubaliana nae ila kuna sehemu anasema kwamba ahadi ya mwaka 2005 ya ccm ya kuanzishwa mahakama ya kadhi iliwekwa na Ben Mkapa na Phil Mangula na anasema kuna...
Back
Top Bottom