Search results

  1. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

    Waandishi wengi wa habari kwa kutompenda Jose hujikuta wanaishia kuonekana wajinga zaidi. Mwandishi anauliza kuwa timu kubwa hazichukulii michuano hiyo seriaz hivyo nini mtazamo wa Spurs! Mourinho anamjibu kuwa hakumbuki lini timu nje ya top six kama akina Swansea ilichukua kikombe hicho! Kwa...
  2. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

  3. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

    Wembley April 2 - 0
  4. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

    Kwa jinsi City walivyocheza game ya juzi na Chelsea, nimeanza kuwa na hofu wanaweza kuwatoa. Mkumbuke kuwa hamna kocha pale hivyo mechi zinazoamuliwa kwa mbinu kama hizi za knockout mnakutana na majanga. Nataka mpite ili Jose awape bakora zingine.
  5. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

    1 - 0
  6. EZZ CHEZZ

    Top 4 EPL 2020/2021

    1. Spurs 2. Looserpool 3. City 4. United Mark this post.
  7. EZZ CHEZZ

    Top 4 EPL 2020/2021

    Yaani Castr timu yangu uliiweka namba 4 kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. EZZ CHEZZ

    Tottenham Hotspurs Thread

    Niaje watu wangu wa Spurs a.k.a Mourinho people! Ni hivi, leo tunacheza na Brentford na kama kawa Mourinho anaheshimu kila kikombe kwa hiyo kashusha full squad. Hivyo tutarajie kuona "full dozz".
  9. EZZ CHEZZ

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Feasibility study ishafanywa na kampuni moja ya Sauzi 266km. Kilichobaki ni utekelezaji. Mradi umelenga 2035 na unahitaji pesa mingi maana Kadogosa alidokeza kuwa njia nzima yaweza kuwa viaduct! Hivyo inatakiwa kujipanga vizuri.
  10. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Feelings za kike ni kuwa na taifa la kike na serikali ya kike. Serikali ambayo haiweji kujitafutia pesa kwa ajili ya shughuli zake. Kila uchao na bakuli kwa mabeberu; Naomba hela za corona (halafu zinapigwa), Naomba unijengee express way, Naomba unijengee SGR, Hilo taifa ipo siku mtashtuka...
  11. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    China washausoma mchezo kuwa sisi sasa hivi tunataka win win deals. Hivyo wameona siyo ishu maana siyo kwamba fair deals haziwalipi. Ni ile tu walizoea kutuweka shamba la bibi kama wanavyowafanyia hao jirani zetu hapo juu. Wachina ukiwakazia infrastructure zao ni nzuri sana tu. Tazara kwa...
  12. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    By 2025 hakuna nchi EA itatusogelea in terms of infrastructure & transportation.
  13. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Take it from me. Kenya ndiyo nchi pekee inayojiendesha kiujanja ujanja kwenye ukanda huu ukitoa nchi ndogondogo kama akina Burundi na S.S. Kwa jinsi Tshekedi anavyojaribu kuiendesha DRC usijeshangaa Kenya ikawa outran na majirani wote in the near future. Maana kete yao kubwa ilikuwa kutufanya...
  14. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sasa hivi nimeacha kulialia na kujiumiza. Nimeketi nakaanga bisi na kufurahia kipindi. Jiwe baada ya jiwe. [emoji1866][emoji1866][emoji1866][emoji1866] Ni mwendo wa spanner tu.
  15. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sasa hivi nimewavulia kofia mkuu. So you are just right genius. Ununuzi haujawahi pitishwa bungeni ndugu Einstein. Nilikuwa nawaoneo huruma jinsi bro Magu anavyowanyoosha bila huruma ila now nishavuta kiti na glass ya juice pembeni. Naendelea kufurahia shoo. Acha muendelee kuchezea bakora...
  16. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aisee, noma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  17. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wapuuzi sana hawa ball boys wa mabeberu. Niliwatetea sana mwanzo nikidhani wanaonewa. Kumbe usikute nao walikuwa wananichora tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bure kabisa.
  18. EZZ CHEZZ

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwanzoni nilikuwa nawabishia akina Geza Ulole kwamba nyie watu hamko sawa. Ila sasa nimeanza kuelewa. Ki ukweli kuna shida kubwa kwenye hivyo vichwa. Mie husoma kila bajeti ya ujenzi na miundombinu, na wizara ya fedha kila mwaka. Kwa mtu aliye timamu hawezi kuja hapa na kusema ununuzi wa ndege...
  19. EZZ CHEZZ

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kikosi b hakina quality ya kuchukua hivyo vikombe. Vitachukuliwa na kikosi a. Hii ni kwa assumption kuwa hakutakuwa na ingizo jipya dirisha hili. Hii pia inamaanisha kuweka rehani ndoto za kuchukua ubingwa wa ligi ambao kimsingi bila usajili dirisha hili hautawezekana, labda wapinzani nao...
Back
Top Bottom