Search results

  1. Sobangeja

    Dark days 17/03/20...

    N8m6mbm k 7.8j.muiu Sent from my SM-A546E using JamiiForums mobile app
  2. Sobangeja

    Maoni yangu kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi , TAMISEMI isihusike na lolote kuhusu uchaguzi

    Naunga mkono100% Sent from my SM-A546E using JamiiForums mobile app
  3. Sobangeja

    Jukwaa la kwanza liliwapa raha sana mahasimu wa Chadema, sasa shangilieni na hilo

    Haya majukwa safi sana na yapo poa hasa kwa remote areas.Yaendelee na mikutano ifanyike bila kukoma.
  4. Sobangeja

    Uteuzi: Kihongosi Mkuu wa Wilaya Urambo, Queen Sendiga ahamishiwa Manyara

    Sendiga yuko vizuri sana,ni kiongozi mzuri,Rukwa kaishi vizuri sana ukilinganisha na watangulizi wake.Rukwa tutamiss sana[emoji120]
  5. Sobangeja

    Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Yeye mtoto wake anaendesha bodaboda? Tuanzie hapo kwanza.
  6. Sobangeja

    Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Kenya iko safi sana.Acha uoga dogo hutaishi milele.
  7. Sobangeja

    Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Kwani fedha za kwako? Msaada bado unahitajika licha ya kwamba tulichotoa ni mdogo sana.
  8. Sobangeja

    Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

    Jenga, ila funguka wadau wake wa Chama ni wakina nani? Wapiga kura ni watu na si majengo.
  9. Sobangeja

    Zitto Kabwe: Nikifa Ado atavaa Viatu vyangu ACT Wazalendo

    Akitangulia kufa Addo inakuwaje?
  10. Sobangeja

    Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

    Kwani wewe unasemaje ? Mbona hujajiajiri huko? Kutwa kucha uko mitandaoni.
  11. Sobangeja

    Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

    Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
  12. Sobangeja

    Dinner with Madam President

    [emoji23][emoji23][emoji23] hakika itapendeza!
  13. Sobangeja

    Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Hayo ni magari na gharama za watu binafsi.Wadau wamejitolea si fedha serikali.
  14. Sobangeja

    Tunduma: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA

    Naipenda sana chadema[emoji108],Tusonge mbele vibara chawa wapowapo tu hawajitambui.
Back
Top Bottom