Kenya ni nchi huru wana haki ya kuamini kila mzungu anachofanya, Tz pia tuko huru kufanya tunachotaka sasa na si kwa masharti au maelekezo ya mzungu. By the way, nchi nyingi zitakuja kufahamu kuwa, wameharibu uchumi wao na corona bado wako nayo, mpaka pale watakapokubali kuishi nayo. Corona...
Tatizo kubwa ni uelewa na mambo ya "Copy and Paste" kisa mzungu anafanya:
Mtu akipimwa na kuwa +ve, haimaanishi kuwa tayari ni mgonjwa wa covid. Asilimia 85 hadi 95% ya waliopimwa na kuwa +ve, hawaonyeshi dalili zozote za ugonjwa wa covid (asymptomatic) au mild symptoms na hupona baada ya siku...
Wazo zuri kabisa. Ati unakuta lami imepita kwenye mtaa, halafu kutoka lami hadi nyumba za watu kama mita 5-10, na ni udongo tu, kwa nini wenye nyumba wasigharamie kuweka hata zege au pavement kuunganisha na lami?? Kuna barabara nzuri mfano wa mwendokasi, imejengwa kutoka kimara korogwe hadi maji...
Unakuja barabara imewekwa lami, pembezoni si tu kwamba hakuna pavement kwa waenda kwa miguu, bali hakuna kingo, na mvua ikinyesha, udongo wa pembeni wote unaingia barabarani, ikiwemo uchafu. Mbaya zaidi hata mitaro unakuta hakuna, maji kutoka maeneo mbalimbsli yanaingia barabarani, na muda si...
Tatizo ni bei za dawa baadhi ziko chini kuliko hata wholesale wanavyouza, wakikupa ni hasara. Wajaribu kuwaambia nalipa cash, kama hawatakupa hizo dawa. Sehemu nyingine kama muhimbili, wakiona bei ya hiyo dawa ni kubwa kuliko bei ya NHIF, wanakupa mbadala, ambayo bei yake iko chini.
Sumu ya Aflatoxin inayoweza kusababisha saratani ya ini, hupatikana kwenye mazao yaliyopata fungus na si kwa sababu ya dawa iliyopulizwa. Mazao kama karanga, mahindi, mihogo au hata mikate, isipotunzwa vizuri huanza kuota fungus/kuoza na fungus hao ndiyo hutoa hiyo sumu. Kuwa makini unapokula...
YEHODAYA,
Atakuwa anaongelea kigali ila si kweli kuwa bodaboda hawaruhusiwi mjini, wanaruhusiwa, ila tofauti na hapa kwetu, wanasimamia sheria, bodaboda hawezi kuondoka mpaka uvae kofia na kubeba mshikaki ni mwiko.
Pia, TANROAD/TARURA wanachakujifunza kutoka NPD ya Rwanda kwenye ujenzi wa...
Nilikuwa Asmara mwezi May mwaka huu, mmoja wa mbongo tuliyekuwa naye, akamtania binti mmoja kuwa anataka kumuoa aje naye Dar, ilikuwa shida....binti alifurahi sana na alikuwa tayari kabisa.........wako desperate sana, wanaishi kijamaa. Na cha ajabu, kama umeingia Asmara, huruhusiwi kwenda mji...
Nimemsikiliza, ana mambo mazuri sana na uelewa mkubwa wa masuala ya uwekezaji na mitaji.
Alitolea mfano Singapore, wanapotafuta mwekezaji, wanakuwa wamefanya utafiti wa kutosha juu ya uwezo was Hugo mwekezaji wanayemtaka, na wao kama nchi wanakuwa pia wamekwisha Fanya utafiti wao na kuweka...
Mengine sawa lakini LA nafuu ya nauli so kweli, maana baada ya ticket za promotion kuisha nauli iko juu kuliko FN. Ni majuzi ilinibidi kukata FN kwenda Mwz na kurudi maana ilikuwa nafuu kuliko ATCL
Cheo cha DMO/RMO hicho ni utawala, hata kada zingine za afya kama nursing, afya ya mazingira, Wafamasia wanaweza kuongoza kama ana elimu ya uongozi. Ni kupoteza rasilimali watu bure. Magufuri abadilishe hii miundo isiyo na tija, watu wakatibu, maslahi yao yaboreshwe, na hivi vyeo viwe District...
Hili ndio tunatakiwa kufanya kama wananchi,ukienda dukani, ukauziwa dawa yenye nembo ya MSD, tut taarifa vyombo husika ili mhusika akamatwe. Hii itapunguza wizi maana na wanunuzi watakosekana, na pia serikali iwafukuze kazi maramoja watumishi watakaopatikana na hatia ya kuiba dawa za serikali.
Ninachofahamu ni kuwa, dawa nyingi za serikali zinafungwa kwenye mifuko, zikitolewa kwenye makopo ambapo, kwa wananchi wengi waelewa na hata mimi, napendelea dawa zilizofungwa vizuri kwenye blisters. Sasa kama dawa zinaibiwa za serikali na kuuzwa, basi wanawauzia watu wa hali ya chini sana...
Bahati mbaya watanzania wengi wameshindwa kutumia akili zao kufikiri badala yake wameacha wanasiasa wafikiri badala yao. Suluhisho ni Serikali kulipa madeni ya MSD ili wasambaze dawa za kutosha, sambamba na kuongeza budget ya dawa kwa hospitali. Ukienda hospitali ya mkoa sekou toure MWANZA au...
kibali nimeomba na sijapata na muda umeyoyoma. Kumbuka kibali unaomba kwa mwajiri (Katibu mkuu) ambaye naye anapeleka majina kwenda ikulu kukuombea kibali.
Sidhani kama wamepotosha Bali ndiyo maagizo yake, kama wangepotosha ikulu si itoe maelekezo??. Binafsi nilitakiwa kuhudhuria short course nje kwa ufadhili wa nje, serikali haichangii chochote, lakini kama mtumishi wa umma nimeshindwa kwenda pamoja na kuwa na ticket mkononi sababu ya kukosa...
Baadhi ya makada na wapenzi wa EL kutoka CCM wamedai hawatahama chama bali watakiadhibu oktoba kw Kumpigia EL kwenye uraisi na ubunge kama mtu wao haeleweki pia watampigia wa ukawa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.