Search results

  1. Bornventure

    Satanic verses

    Hii Kitabu Satanic verses. Nani amekisoma au anacho (naomba soft copy) napenda sana kuelewa why Mwandishi wake anachukiwa na Waislamu. ?
  2. Bornventure

    Walimu chukueni hatua dhidi huu unyonyaji

    Sijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT.
  3. Bornventure

    TCU kuweni makini kuvichunguza vyuo vikuu

    Jamani kama mzazi, mlipa kodi naomba sana sana TCU fuatilieni vyuo vikuu vingine ni hovyo sana nchi hii. Msipoangalia mnaharibu taifa
  4. Bornventure

    Safari ya wana Israel

    Habarini wanajamvi! Nina swali ndugu zangu; Hivi wakati wana Israel wanaenda Misri walipita wapi ambapo hawakuvuka bahari ? Na ikawaje wakati wanarudi wakatakiwa kuvuka bahari?
  5. Bornventure

    Laptop used 2 zinahitajika

    Nipo Mbeya , wapi napata laptop used ,ambazo bado utunzaji charge uko Safi ,mwonekano mzuri na storage angalau 500 gb kwenda juu.
  6. Bornventure

    Kwanini kazi ya UALIMU hupelekea mambo haya kwa walimu?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja; Kabla ya kuajiliwa kama mwalimu (hasa wa serikali) wahusika wengi wa ajira hii huwa ni watu wenye AKILI, UTU, MALENGO, UBUNIFU, BIDII, UPENDO na mengineyo mengi mema. Lakini katika hali ya kushangaza baada ya muda flani kupita tangu mtu awe...
  7. Bornventure

    Hebu tuwe wakweli hapa !

    Bila kujali u mnywaji au Mlevi. Naimba kwa uzoefu na utaalamu kuorodheshewa HASARA/MADHARA YA POMBE KWA UJUMLA WAKE. kiafya, kijamii, kimaendeleo na uchumi. Yote haya kwa level ya individual.
  8. Bornventure

    Mishahara ya watumishi yazidi kupaa

    Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania inaonyesha kuwa mishahara imeongezeka kwa takriban Sh31 bilioni kwa miezi 12 iliyopita.Ripoti hiyo inakuja wakati ambapo sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma nchini humo ikionyesha ni watu 6,099 pekee ambao wameajiriwa ndani ya miaka mitatu iliyopita...
  9. Bornventure

    Huu upendeleo kwa polisi si sawa!

    Sisi sote ni watumishi wa serikali ,pale Raisi anaposema yuko bize kuendeleza miradi mikubwa hivyo hawezi kuongeza mishahara hana pesa, Je hizo pesa anazowaongeza polisi kinyemela zinatoka wapi ? Polisi wanapewa laki 3 inaitwa *Package* au * Posho ya Vinywaji* . hii si sawa aise
  10. Bornventure

    Mwovu hukimbia pasipo kukimbizwa

    Sasa ni zamu ya Swahiba mwingine wa Jiwe , Museveni pia anataka kuchagiza kabali Kali kwa mitandao ya kijamii na Uhuru wa habari. Najiuliza bila majibu ! Why afrika mashariki viongozi wanaogooa sana vyombo vya habari ????
  11. Bornventure

    Hakika Tanzania iko Dunia ya Tatu

    Nakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini ...
  12. Bornventure

    Ni nini Hoja ya msingi kuhusu suala la kurudia rudia !?

    Kumekua na mijadala miingi kuhusu uwezo wa kurudia rudia ( round nyingi) ktk kusex . 1) je hoja hasaaa ya msingi ni ipi ktk hilo ?2) je na nani haswaa anaedai round zaidi kati ya Me na Ke? 3)Kwani...
  13. Bornventure

    Wanawake nisaidieni majibu

    Kwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
  14. Bornventure

    Hii habari ya Jumatano ya Majivu asili yake ni nini!?

    Niseme tu ukweli kwamba kiasi fulani nakereka na hii imani ya kuchorana chorana na majivu kwa hii siku inaitwa Jumatano ya majivu. Hebu nieleweshwe labda nikielewa ntaiona sawa.. ======= UPDATES: IFAHAMU JUMATANO YA MAJIVU UTANGULIZI Jumatano ya majivu ni mwanzo wa kipindi cha kwaresima...
  15. Bornventure

    Nina wazo la kutengeneza biashara/ajira

    Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka...
  16. Bornventure

    Nina wazo la kutengeneza biashara/Ajira

    Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani. katika kiwanj a kuna maji pia umeme Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye...
  17. Bornventure

    This is getting so so serious !

    Serikali kuyachunguza makanisa ili kujua ni ya kiMungu au kishetani ?? Ahahaha. This is only in Tanzania
  18. Bornventure

    Sina Takwimu

    Huku mbeya Leo mvua imenyesha sana lakini naogopa kuelezea mambo mengine yaliyoambatana na mvua hii kwakuwa sina TAKWIMU
  19. Bornventure

    Hajaonekana muda mrefu !

    Habarini wa afrika wenzangu. Kwa watanzania hongereni kwa Uhuru, pia kwa Juhudi za Magufuli nasikia sasa Life expectancy yenu imepanda ktk utawala wake kutoka miaka 37 mpaka 61, japo binafsi sijaelewa (nadhani ni frustrations zangu). OK nirudi kwenye hoja yangu, Napenda kuulizia Mr mshana jr...
Back
Top Bottom