Search results

  1. Bornventure

    Satanic verses

    Na Wafuasi wa Mnyazi baada ya Fatwa kufeli😂
  2. Bornventure

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    We umesema hicho Kitabu ?. Inferiority complex inawasumbua sana Muslims. Ukisoma kile Kitabu, jamaa ameonesha tafakari za kina saana kuhusu mambo ya dini na Imani ambayo wahafidhina wa dini hawapendi yajadiliwe Bali husisitizwa yachukuliwe Kama yalivyo,(hii inahusu hata wakristo) Kitabu kitamu sanaa
  3. Bornventure

    Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

    😂 Kama vile wengine wamevaa nguo zilizotengenezwa na Yesu mwenyewe kumbe inawezekana hata ya mchungaji wao imetoka kiwanda kimoja. ja na hiyo jeans yako. Imani ikikuingia vibaya ni uwendawazimu kabisaa
  4. Bornventure

    Satanic verses

    Hii Kitabu Satanic verses. Nani amekisoma au anacho (naomba soft copy) napenda sana kuelewa why Mwandishi wake anachukiwa na Waislamu. ?
  5. Bornventure

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Basi wasilalamike. Wapokee kwa furahaa matunda ya kazi zao walizofanya wakiwa vyuoni na mtaani kabla ya ndoa
  6. Bornventure

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Wa ndugu yako sawa kabisa. But ki uhalisia haikai sawa mi nianze kulea mtoto wa jamaa aliekua ana mgonga ambae ni mkewangu Hadi akamzalisha Kama haitoshi aka mdump na kitoto, alafu mie nioe, nilee na mtoto !!!?? You guys are not serious
  7. Bornventure

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Acha kutoa povu. Hakuna kuzaa bahati mbaya. Ni ni ujinga na uhuni au tamaa au kuendekeza mapenzi ya kijinga . Wadada wakiwa chuo Huwa wajuaji saaana ukimshauri au ukimuonya anakuona kama mchawi, maisha yakimpiga akiona ameshapata hadhi ya single mother ndo anajifanya kuleta busara za ajabu...
  8. Bornventure

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kwani mtoto ni WA nani ? Ukizaa nje Bora uamue kukaa single mother maisha yako yote,but ukitaka nikuoe ujue kamwe sitafanya kazi ya kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu huku yeye akienjoy maisha peaceful na family yake huko.
  9. Bornventure

    Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

    😁😁😁 Warudi tu shule, hizi tamthilia za Kiswahili 2
  10. Bornventure

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Ushauri mbovu sana aise. Nyie ndo walimu wa hovyo sana
  11. Bornventure

    Walimu chukueni hatua dhidi huu unyonyaji

    Sijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT.
  12. Bornventure

    TCU kuweni makini kuvichunguza vyuo vikuu

    Jamani kama mzazi, mlipa kodi naomba sana sana TCU fuatilieni vyuo vikuu vingine ni hovyo sana nchi hii. Msipoangalia mnaharibu taifa
  13. Bornventure

    Safari ya wana Israel

    Nikiangalia hii ramani naona kama haikuwepo sababu ya wao kuelekea bahari ya sham wakati canaan iko karibu sana kwa mwendo wa nchi kavu
  14. Bornventure

    Safari ya wana Israel

    Asante ndugu. Nitasubiri nipate huu ufahamu
  15. Bornventure

    Safari ya wana Israel

    Habarini wanajamvi! Nina swali ndugu zangu; Hivi wakati wana Israel wanaenda Misri walipita wapi ambapo hawakuvuka bahari ? Na ikawaje wakati wanarudi wakatakiwa kuvuka bahari?
  16. Bornventure

    Ipi inalipa? Kati ya kozi ya tourism na ualimu wa science (physics )

    Umasikini hautokani na kazi au kozi uliyosomea. Umasikini ni mfumo wa akili na mtazamo wako au nature ya malezi na familia yako. Kuna walimu ni matajiri sana na kuna ma daktari masikini sana , kuna walimu masikini sana na kuna makarani matajiri. Badili mtazamo Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Bornventure

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Isije kuwa ni wale walio toroka Amana.. kwani wale walikua wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom