Search results

  1. U

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Kama kichwa kinavyojieleza!! Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali! Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi na wataalamu wetu hawa wa "darasani" lakini hakuna maendeleo yoyote!Nilipenda nijue mifugo yangu...
  2. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  3. U

    Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku! Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha! Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze! Lengo ni ili isiharibike! Msaada tafadhali
  4. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa! Ajabu toka juzi naandikiwa "No or...
  5. U

    Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki? Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi! Njooni mnielimishe!!
  6. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe! Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
  7. U

    Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  8. U

    Mliowahi weka fedha kwenye "Fixed account" naomba mnielimishe hapa

    Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu! Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri! Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo! Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
  9. U

    Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
  10. U

    Vifaranga vinatolewa kwenye bruda/duara ya silingi bodi

    Habari wanajf,ningependa kujua ni lini vifaranga vinatakiwa vitolewe kwenye BRUDA au lile Duara la silingi bodi linalotumika kuhifadhi joto kwa vifaranga ,ninaomba mnielimishe.Nimeambatanisha na kielelezo hapa chini
  11. U

    Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  12. U

    Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
  13. U

    Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini? Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
  14. U

    Ushauri wangu kwa watumishi wanaopokea mishahara

    ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!! 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao. 2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
  15. U

    Mliowahi kukutana na tatizo hili kuhusu kampuni ya Zola naombeni ushauri

    Kampuni ya nishati ya jua ya Zola walinifungia mtambo wao, lakini ajabu tofauti na makubaliano mtambo huu uligoma kuniwashia TV, na pia umeshindwa hadi kunichajia simu! Nimejaribu kuwasiliana na Zola wamekuwa wananiahidi uongo. Mara tutashughulikia lakini hadi leo miezi zaidi ya kumi imepita...
  16. U

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  17. U

    Wafugaji wa samaki mliopo Mbeya

    Ninaomba wafugaji wa samaki mliopo Mbeya jiji tuwasiliane mnipm kuna kitu ninatafuta.
  18. U

    Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  19. U

    Je, broiler grower inawafaa sasso?

    Wadau hivi grower ya Broiler inawafaa hata vifaranga wa Sasso?Msaada jamani mnitoe ushamba
  20. U

    Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
Back
Top Bottom