Search results

  1. U

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Nadhani ulinielewa tofauti!Si kwamba tunalaumu wataalamu,la hasha!Kumbuka dunia nzima,tiba halisi inaanzia maabara,ndiyo maana nikaulizia maabara ya mifugo ili kuku wangu waweze kuchunguzwa!Lengo ni kubaini tatizo hasa ili litibiwe!Wataalamu wote wa mifugo,wanatibu kwa kukisia!Na hapo ndipo...
  2. U

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Wanasinzia!Alikuja tabibu wa kwanza nikamlipa akatoa dawa ajabu wale wote waliokuwa hali mbaya wakafa!!Nikashuku hiyo dawa!Akaja mwingine naye akagawa dozi yake lakini bado hali iko vibaya!Tatizo wote wanatibu kwa hisia!!
  3. U

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Kama kichwa kinavyojieleza!! Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali! Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi na wataalamu wetu hawa wa "darasani" lakini hakuna maendeleo yoyote!Nilipenda nijue mifugo yangu...
  4. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Unamaanisha nini mbona kama swali na jibu haviendani??
  5. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  6. U

    Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  7. U

    Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Asante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi!Kuhusu unyevu nimeanza kuianika!Hiyo mycotoxin nitaitafuta.Swali langu ni hivi hiyo dawa haina "effect" yoyote kwa kuku?Maana lengo langu nikuja kuiuza hiyo pumba ikiwa imechanganywa na virutubisho vingine kwa ajili ya kuku,sungura n.k!Kwa nini...
  8. U

    Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku! Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha! Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze! Lengo ni ili isiharibike! Msaada tafadhali
  9. U

    Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Maoni na ushauri mzuri ingawa hujataja ni chanjo gani hiyo anayopewa bata wa siku moja!!Ukienda duka la dawa za mifugo utakuta chanjo za kuku na si za bata!
  10. U

    Mliowahi weka fedha kwenye "Fixed account" naomba mnielimishe hapa

    Namna gani Faida Fund ya watumishi house?Maana nimeaikia kwenye vyombo vya habari wanainadi
  11. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Sijakuelewa mkuu naona umetumia lugha ngumu
  12. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Duh!Kwa hiyo ni kawaida?Maana usijekuwa ninashangaa Mimi mwenyewe kwa sababu ni mgeni!!
  13. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa! Ajabu toka juzi naandikiwa "No or...
  14. U

    Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Unafanyaje hivyo?Tupe maujanja hayo inbox
  15. U

    Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Tunaomba tusaidiane hapo!Kuna familia moja ya rafiki yangu nimekuta kikao ambapo kulikuwa na mjadala mkali!Mama yao kastaafu na alikuwa kwenye Saccos moja akaomba kujitoa kwa sababu amejenga makazi yake mkoa wa 5 toka hapo alipostaafu.Wamemhesabia pesa zake pamoja na magawio yake wamempa!Familia...
  16. U

    Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Thanks!But why do you think so?
  17. U

    Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki? Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi! Njooni mnielimishe!!
  18. U

    Jifunze kitu kuhusiana na biashara ya bodaboda

    Kwa Siku bodaboda moja alikuletea shilingi ngapi?
  19. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Nashukuru nimeshafanya hivyo na tayari fundi ameniwekea
Back
Top Bottom