Search results

  1. Osaba

    Gari kuwa inamiss

    Naombeni msaada gari yangu ikikaa muda kama wa masaa matatu nikiiwasha inawaka vizuri tu ila nikikanyaga moto inakuwa kama inamiss na inataka kuzima nikikanyaga sana yani mara nyinginyingi inachanganya na tatizo la kumiss linaondoka, naombeni kujua hapo shida ni nini maana nikilizima nikakaa...
  2. Osaba

    Msaada wa Tatizo la gari yangu

    Gari yangu imeanza kusumbua lkn tatizo cjui, ni carina automatic gear,inawaka safi,unaweka gear D kama kawaida ila RPM ikifika juu ya 2 inakuwa kama ipo katika N yaani neutral sasa cjajua tatizo nini, nilishasafisha sample na chekeche, msaada wa mawazo ya kiufundi wadau.
  3. Osaba

    1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

    1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni balaa kabisa.
  4. Osaba

    Dvd rom haionekani kwenye laptop

    Naombeni msaada wadau dvd rom haionekani kwenye laptop yangu aina ya dell
  5. Osaba

    Tatizo la kuvuja kwa ATF

    Wadau nisaidieni,gari yangu inatatizo la kuvujisha ATF kwenye kikombe kinachobeba star joint na drive shaft ya kulia,nimebadili kikombe mara mbili lkn huwa kinavuka na kupelekea ATF kuvuja na kupungua,nifanyeje au tatizo hili nilisolve VP?Gari ni Toyota Carina engine 5A
  6. Osaba

    Virikuu vya ukweli

    virikuu bomba
  7. Osaba

    Unaweza kulipia road licence ya gari kidogokidogo

    Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu hili atujuze.
  8. Osaba

    Toyota Vitz inauzwa 5.3m

    Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa Tshs 5.3m, haidaiwi kibali chochote. For serious buyer call or WhatsApp 0713 234224
  9. Osaba

    Toyota duet inauzwa 4m

    Toyota duet inauzwa 4m , ipo katika hali nzuri sana na automatic na imetembea km 140,000, mafuta inanusa 1lt inaenda km 20, cc 980. For serious buyer just call 0713 234224
  10. Osaba

    Mazda Bongo inauzwa 3m

    Gari aina ya Mazda Bongo inauzwa Tshs 3.m, for more details just call 0713234224
  11. Osaba

    Toyota corsa inauzwa 2.5m

    Gari aina ya Toyota corsa inauzwa Tshs 2.5m for more details jus call 0713 234224
  12. Osaba

    Gari aina ya kia inauzwa 1.5m tu

    Gari aina ya kia sportage inauzwa sh 1.5m tu, ina tatizo dogo kwenye injini
  13. Osaba

    Toyota Starlet inauzwa 3.3m

    Gari aina ya Toyota starlet inauzwa 3.3m tu for more detail just call 0713 234224
  14. Osaba

    Maturubai ya kwenye car shades yanapatikana wapi?

    Maturubai ya car shades yanapatikana wapi kwa Dar?
  15. Osaba

    Taa aina ya karabai inafanyaje kazi?

    Anayejua jinsi taa ya karabai inavyofanya kazi atupe maujuzi
  16. Osaba

    512 GB usb flash drive for sale

    Flash yenye ukubwa wa 512 gb aina ya swivel stainless steel inauzwa bei ni tsh 150,000 tu, for serious buyer just pm me or whatsapp 0713 234224
  17. Osaba

    512 gb usb flash disk for sale

    Flash yenye ukubwa wa 512 gb aina ya swivel stainless steel inauzwa bei ni Tsh 150,000 tu, serious buyer whatsapp 0713 234224
  18. Osaba

    Am looking for Noah old model unregister

    Natafuta Noah toleo la zamani isiyosajiliwa nikimaanisha iliyoingia karibuni kutoka nje bajeti yangu ni 10m, mwenye nayo atupie namba yake nitampigia
  19. Osaba

    Usb flash 128gb inauzwa

    Flash yenye ukubwa wa 128gb inauzwa bei ni tsh 80,000 tu. Ni mpya kabisa
  20. Osaba

    Msaada wakuu kuhusu keys za antivirus

    Nimepakua keys za antivirus tatizo nikifungua hilo file linadai program ya kufungualia, maana nikitumia microsoft word inafunguka vitu vya ajabu, msaada tafadhali
Back
Top Bottom