Search results

  1. Osaba

    Nichukue IST au Belta?

    Belta ziko chache itakusumbua vifaa vyake
  2. Osaba

    Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Sony zamani siku hizi wanalipua tu muziki ni JBL na BOSE
  3. Osaba

    Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Mkuu android original zinaanzia laki 5 hadi milioni 5 hiyo ni bei ya China
  4. Osaba

    Nichukue Soundbar au home theatre ya kampuni gani?

    Tafuta JBL au BOSE ila bei zimechangamka sana, unapata pure bass na live sound ya maana
  5. Osaba

    Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Nenda Manzese Argentina karibu na kituo cha mwendokasi kuna fundi anaitwa kapelo ni mtaalam sana wa hizo android
  6. Osaba

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Btu 18000 ni kubwa sana kwa chumba cha kulala sijui ukubwa wa chumba chako, nimefunga ya btu 12000 na ni non inverter naona iko poa sana, ukifunga elekeza kitanda chako kilipo inakuwa inapuliza vizuri
  7. Osaba

    Probox au IST nivute ipi ?

    Chukua probox land cruiser ya chini
  8. Osaba

    Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Wewe unaangalia kucheza vizuri au unaangalia matokeo?
  9. Osaba

    Gari yako imegoma kuwaka? Sababu zinazopelekea gari kupata ugumu wa kuwaka...

    Ishu nyingine ambayo umeisahau ni ishu ya alarm ukajisahau ukabonyeza basi gari haitawaka hadi uitegue
  10. Osaba

    bajeti ya music wa gari

    Una upgrade betri tu kama una N40 unafunga N50
  11. Osaba

    'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

    Kwa Urusi Kamaz na Lada zipo na nishawahi kuziona hapa nchini
  12. Osaba

    Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

    Gari nzuri sana hasa kama ni mtu wa safari chukua yenye cc 1800 ni balaa na steering wheel yake haishake ukiwa speed kama zilivyo baadhi ya Toyota
  13. Osaba

    Kwa gharama kubwa za original spares acha mchina aendelee kupeta

    Hapo walikupiga maana feki ni 35000 hadi 45000 original ni 100000 hiyo ni front ukitajiwa ya nyuma si ndio utapaki gari kabisa na uzuri wa hizo bearing zinaingiliana na za gari nyingi
  14. Osaba

    Msada: Usajili wa gari

    Ipeleke Zanzibar itasajiliwa namba mpya kule kisha irudishe bara utapata namba mpya kabisa
  15. Osaba

    Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

    Wanakutisha tu siku hizi discovery yapo mengi sana pamoja na range rover kiufupi Land Rover zipo nyingi sana na zinaendelea kuingia pamoja na spare zake we vuta tu asikutishe mtu mimi mwenyewe mwakani Mungu akipenda navuta moja
  16. Osaba

    Wanaopendekeza Alphard mbadala wa Land Cruiser V8 ni wivu tu unawasumbua

    Kuna zingine zinafanana na Alphard zinaitwa Velfire ni móto balaa ukikaa ndani kama uko kwenye ndege vile
  17. Osaba

    Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

    Napenda sana kupanda Shabiby za Dom ila kinachonikera ni kuweka movie za mkojani tu, nakereka sana
Back
Top Bottom