Search results

  1. U

    Je Muhimbili-JK iko compromised

    Watanzania tuna changamoto nyingi sana lakini umbeya na majungu nahisi ndo mambo yanayokitafuna sana Taifa hili. Katika kuchoka kwangu Jana na leo nahisi nimesoma karibu kila ujinga na hoja Jenga mtandaoni. KILICHONISTUA ni habari aliyoandika mmama mmoja kuandika kuwa alikuwa na habari za...
  2. U

    Ni aina gani ya Bima ya Afya anatumia Prof J (Joseph Haule)

    Prof J ni moja ya watu maarufu kwa Level zetu za Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani kwa zaidi ya miaka 11 Lakini bado napenda kusikiliza Radio especially Clouds na Leo nimeskia kuwa Prof J ni mgonjwa na zaidi ya Wiki 3 amelazwa Hospitalini, gharama kwa Wiki 4 Million Tshs. Sio ndogo...
  3. U

    Je Mbowe Kachanja „antimakosa“

    Subira yavuta heri. Geduld bringt Rosen. Wanasema wenye Lugha Yao. Mke Wangu na wanangu wao wanajua zaidi. Kwangu la msingi pumzi. Kwanza nina declare interest Kwa Nchi yangu nilipozaliwa hata kama Sasa kwa miaka Hii Kumi na kitu nafanya nachofanya huku kwa baniani mbaya kiatu chake dawa...
  4. U

    Mbowe, unataka tujikinge na Covid-19 au tufanye makongamano?

    Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na hizi chanjo na matokeo yake. It’s a free decision. Mwenyekiti wa CDM kafiwa majuzi na ndugu yake...
  5. U

    Maaskofu asanteni kwa malezi

    Utawajua kwa matendo yao. Uaskofu ni mamlaka makubwa ya kimungu anayopewa binadamu dhaifu kwa ajili ya taifa la Mungu la mahali iwe kupitia uchaguzi au kuteuliwa au kujiteua. Wajibu mkubwa wa Askofu pamoja na mambo mengine: ni kuwaongoza kwa mfano, kiroho na kimwili watu aliokabidhiwa au...
  6. U

    Shida sio kuvaa Masks: aina namna...

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi na iendelee. Naona huko nyumbani wakubwa wanajitajidi kuvaa masks. Na Pia kama Leo katika kikao cha RJMT na wazee, masks zilitamalaki. Hongereni Ni hatua as Long as mnapenda kulindana hasa wazee wetu. Huku ulaya namna ya watu walivyojua kuhusu masks mwaka Jana...
  7. U

    Chanjo nchi jirani. Woga / mashaka

    Corona in Austria: After the death of a nurse - connection with vaccination has now been confirmed It was disturbing news that made the rounds from Austria at the beginning of March. As the ORF reported, citing the Austrian Federal Office for Safety in Health Care, two critical cases occurred...
  8. U

    Kama ni COVID-19 Basi Ni new variant

    Wapendwa, sishangai Vifo vya watu mashuhuri, watu wazima ambao Hakuna ajuaje makandokando yao ya kiafya, Lakini nashangaa aina hiyo mnayoita corona. Pamoja na kuwa toka mwaka Jana mwezi wa tatu, Ulaya inateseka na corona na mi nikiwa ndani yake, pamoja na Vifo tulivyoshuhudia, ukiweka na Ukweli...
  9. U

    Life: Simulizi la mgonjwa mmoja

    I'm currently a stage 4 lung cancer with a metastasized right adrenal gland cancer at this point. I was told locally to go home and get my affairs in order. Dr's locally refused to even do a biopsy. BTW I complained to my GP for 9 months something wasn't right because of the suttle things...
  10. U

    What have seen on the ground...Zitto? We , because ehh!

    COVID-19 ipo wakubwa almost duniani kote. Baki home kama huna la kufanya. Ukitoka Chukua tahadhari, Vaa Barakoa, nawa mikono na maintain one Meter umbali. Ukiwa unakohoa ziba mdomo kwa kiwiko au tissue nk. Hakuna uchawi hapa. Kirusi anahitaji Lift yako kufika kwa mwingine . Nirudi kwa...
  11. U

    Watanzania kweli! Kujitambua

    Leo nimeangalia picha na video za mazishi ya Shekhe Sulemani. Nimeshuhudia umati wa watu. Nimejiuliza Hivi kweli tunahitaji kufungwa kamba kujisaidia wenyewe. JIsz how come na corona hii. Watz tuwajibike kwa maisha yetu na ya wenzetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    Foundations...

    Foundations are the agencies through which the super rich shield their enormous wealth from taxation all the while not relinquishing control of their assets. It's their way of giving away without actually giving. What the rich actually do give away is often used for nefarious purposes. For...
  13. U

    Nobel Prize-winning scientist who discovered HIV claims Coronavirus was created in laboratory

    In a highly significant development, Professor Luc Montagnier, the French scientist who shared the 2008 Nobel Prize in Medicine for discovery of the human immunodeficiency virus (HIV), has added his voice to those who believe the new coronavirus was created in a laboratory. Interviewed on the...
  14. U

    What happens if a coronavirus vaccine is never developed? It has happened before

    By Rob Picheta, CNN London (CNN) - As countries lie frozen in lockdown and billions of people lose their livelihoods, public figures are teasing a breakthrough that would mark the end of the crippling coronavirus pandemic: a vaccine. But there is another, worst-case possibility: that no...
  15. U

    Kamasutra: Die 100 besten Stellungen

    Kitabu matata cha wapenda ngono. Ukiweka link tu hutahitaji Serikali ikutafutie bundle wala Nini. Vijana kwa wazee watakimbilia kukodolea macho style Hizo 100 na kwa haraka kutaka kufanya practical. Hakuna asiyejua ABCD za COVID-19. Lakini watz wa Leo Vijana kwa wazee wanataka Serikali ndo...
  16. U

    Ask not what your country can do for you – ask what you can do for your country.«

    Katika kipindi hiki ambacho prozent kubwa ya watu duniani kote, tunahangaika na COVID-19 Pandemie, Serikali Zote duniani na watu Wake wameendelea kutafuta njia Bora ya kupambana nayo huku kila moja kwa mazingira, na uwezo wa kiuchumi na kitaalam, akifanya liwezekanalo kupunguza madhara ya Uhai...
  17. U

    Why does the COVID-19 virus spreading?

    Excellent question: Why do cases of COVID-19 continue to spread when a majority of people are in lockdown? First, SARS-COV-2 is most unusual in that is has an incubation period of up to 12 days, compared to 5 for most other coronaviruses and influenza viruses. So even if everyone in an area...
  18. U

    Can COVID-19 be mistaken with flu [emoji40] ? By Leda Lanich

    I live in Italy, in the yellow zone, the closest case of coronavirus in my area is a few km from my house and it is a man who had a fever at 37.8° (100 F) which disappeared before the following evening. If the coronavirus alarm had not been there, he would have been absent from work a few days...
  19. U

    Watanzania na waitaliano Ni ndugu

    Nimeiona hii mahali nikakumbuka mfanano I live in Rome. Your explanation is very true. The medical people in Italy are really professional and compassionate as angel. The only thing wrong here is the people who escaped and boarded the train which traveled from the North to South. How many...
  20. U

    Fungeni Hotel na wawekeni kwa 14 days

    Ndugu zangu watanzania wenye mamlaka na watanzania wa kawaida. Jambo alilofanya mama huyo kwenda Hospital mwenyewe ni kitendo cha Hatari Kubwa sana katika maana ya kuthibiti Coronavirus. Ukihisi unadalili, unahitaji kutulia ulipo na then kuja kuwa attended Hapo. So fungeni Hoteli na watu wake...
Back
Top Bottom