Search results

  1. Mzura

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    kwenye tafiti zako hujatueleza upande wa vyama vya siasa ni chama kipi kinaoongoza kaw kununua uchawi?
  2. Mzura

    kwanini watu wanatafuta kazi badala ya kutafuta maisha''

    Nazani kabla ya kuuliza swali ungejiuliza kwamba kati kazi na maisha ni nini kinaanza na kipi kinafuata.
  3. Mzura

    Badilisha mtazamo wako upate ajira

    Kusema ajira ni utumwa ni fikra potofu. Mara zote maisha hutegemeana inaweza ikawa mwajiri au mwajiriwa au kwa namna nyingine yeyote ile. Sikatai kwamba kujiajiri au kufanya shughuli zako mwenyewe kunakupa uhuru mkubwa sana. Ila sizani katika karne ya sasa unaweza kufanya kazi zote peke yako ni...
Back
Top Bottom