Search results

  1. E

    Kesi ya msanii Lulu (Elizabeth Michael) iliishia wapi?

    Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.
  2. E

    Yanga kutwaa ubingwa mara 25 lakini hakuna mafanikio kimataifa ni aibu

    Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya...
  3. E

    Vazi jeusi kwenye msiba ni utamaduni wa kitanzania au kutoka Ulaya?

    Wajuzi wa mambo, Kumekuwa na mjadala juu ya vazi wakati wa misiba. Wapo wanaosema vazi jeusi ndio sahihi na wapo wanaosema vazi lolote. Najiuliza kama vazi jeusi ndio sahihi je ndio utamaduni wa Mtanzania au tumeiga kutoka Ulaya?
  4. E

    Mkuu wa mkoa wa DSM Vita dhidi ya Madawa ilikuwa Kwa kina Mbowe, Gwajima Na Manji?

    Mh.Paulo Makonda Mkuu wa mkoa wa DSM ile kampeni yako ya madawa ya kulevya ilikuwa kwa ajili ya Mh.Mbowe, Askofu Gwajima Na Rais wa Yanga tu?
  5. E

    WATANZANIA KUPATA MAENDELEO KWA KATIBA HII YA CHAMA KUTENGEZA SERA ITAKUWA NDOTO

    Watanzania wenzangu Katiba Yetu imeandaliwa kisiasa sana Na ndio maana wanasiasa wa nguvu Na maamuzi makubwa.Katiba Yetu inakipa chama cha siasa kuandaa Sera bila kujali zitatekelezwa Kwa Bajeti gani.Katiba Yetu inawapa nguvu wanasiasa kuwasimamia watalaamu ambao ndio wenye elimu Na ujuzi wa...
  6. E

    Bw.Polepole jimbo la Arusha mjini hata mkijenga "Interchange" ni la kamanda Lema

    Bw.Humphrey Polepole wananchi wa Arusha Mijini Mbunge wetu ni Kamanda Lema.Jengeni Shule, jengeni Barabara hata za Interchange Kamanda Lema ndio Mbunge wetu.
  7. E

    CV ya Mbunge Ally Kessy nina hofu hata kusoma na kuandika hajui

    Wadau naomba kujua CV ya Mh.Mbunge Ally Kessy wa Namanyere.Mbunge huyu uchangiaji wake Mjengoni nimekuwa Na wasiwasi nao kwani inawezekana hata ile Sifa yao ya Kusoma Na Kuandika itakuwa hana.
  8. E

    Kwanini viongozi wa kisiasa wanataka waombewe kwani wao hawawezi kujiombea?

    Wadau naomba mnisaidie kufahamu Kwa nini Viongozi wa Kisiasa wanawataka Viongozi wa dini wawaombee wao ili waweze kutimiza majukumu yao.Kwani Wakijiombea wao wenyewe Mungu hawasikii? Mbona mambo yao binafsi wanajiombea?
  9. E

    Mh.Lowassa aliletwa CHADEMA na " roho mbaya, chuki ,uongo na majungu ya viongozi wa CCM"

    Kuna mada inazungumzwa humu Juu ya Nani alimleta Chadema Mh.Kipenzi cha Watanzania Lowassa.Nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua kuwa Mh.Lowassa aliletwa Chadema Na Viongozi wa CCM wa wakati ule waliokuwa Na Roho mbaya, Chuki, Majungu dhidi ya Mh.Lowassa.Walidiriki hata kusema Uongo ambao mpaka...
  10. E

    Wanayanga bakuli linaendelea tuokoe jengo kupigwa mnada

    Mambo yanaendelea WanaYanga wrote Bakuli linatembezwa mchangie kuliokoa Jengo kwani linataka kupigwa Mnada.Katibu MKUU wa Yanga amethibitisha.
  11. E

    Waliogushi vyeti wana makosa matatu ya jinai

    Wadau nadhani wale wote wataothibitika wamegushi Vyeti huenda wakashtakiwa Kwa makosa 3. 1. Kugushi cheti 2. Kutoa taarifa za uongo Kwa mwajiri 3. Kujipatia mishahara. Tunawatakia kila la Heri hao walioamua kugushi vyeti
  12. E

    Tunaambiwa CCM hakuna mafisadi, je huyo Mwenyekiti wa wazazi aliyekomba Bil.18.9?

    Watanzania tumekuwa tunahubiriwa na viongozi wa CCM kuwa mafisadi wapo vyama vya upinzani. Kwa maana kuwa CCM ni Wasafi sana.Mungu ni wa wote tunamshukuru ametuonyesha kuwa Ufisadi chimbuko lake ni CCM. Mwenyekiti wa wazazi mkoa wa Mwanza Amekomba Bilioni 18.9 pekee yake huku akiwaacha wapiga...
  13. E

    Yanga ya diwani Manji yatembeza bakuli

    Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu tumejionea Yanga wakiwa Algeria ambako walipigwa bso 4G Na kutupwa nje ya mashindano Na kukwama...
  14. E

    TFF ipige marufuku timu kukata rufaa

    Nashauri Kamati ya Sheria za soka ya TFF ipige marufuku timu kukata Rufaa Na hata kama mchezaji ameonyeshwa kadi 100 acheze tu kwani hakuna kulalamika.Sheria itasaidia kuinua Kiwango cha soka letu.
  15. E

    Sheria inasemaje timu kumchezesha mchezaji mwenye kadi za njano 3?

    Wadau naomba kujulishwa iwapo mchezaji ana kadi 3 Na timu ikaendelea kumchezesha Na hakuna timu iliyolalamika Sheria inasemaje?
  16. E

    Pongezi Kwa Wabunge wa CCM kutoisimamia Serikali kinyume Na kiapo chenu

    Nawapongeza sana wabunge wa CCM pamoja Na kiapo chao cha kuisimamia serikali wameamua kuwa Idara ya serikali.Nawaomba Wapinzani pamoja Na uchache wao wanajitahidi kupaza sauti nasi tunawasikia.Wabunge wa CCM hawaonekani kushangaa kwanini Bajeti walioipitisha ya 2016/2017 ya trilioni 19 Serikali...
  17. E

    Wasanii wa Bongo movie kama mlivyosimama kwenye majukwaa 2015 Kasimameni tena kuuza Kazi zenu

    Wasanii wa bongo movie inaonekana mnasahau mapema.Mwaka 2015;mlisimama kwenye majukwaa Na kutunanga sana watanzania Na kuhaidiwa neema tele ya Kazi zenu.Mkalipwa mamilioni ya Kodi zetu wakati kazi zenu hazilipiwi kodi Mkaitwa Ikulu mkasifiwa sana tena sana mkadhani maisha yatakuwa hivyo kila...
  18. E

    BAJETI YA MAENDELEO 2016/2017 CHINI YA CCM MPYA IMECHEMKA NI ASILIMIA 34%

    Bajeti ya Maendeleo ya 2016/2017 Chini ya CCM Mpya imechemka Serikalini imeshindwa kuitekeleza .Bajeti hiyo imetekelezwa Kwa Asilimia 34 tu.Maswali ya kujiuliza ni mengi ikiwa ni pamoja Na CCM kushindwa kuisimamia Serikali yake ili iwaletee Maendeleo wanyonge walipa Kodi wa nchi hii.
  19. E

    CCM haina mpango mkakati wa kutekeleza ilani

    Jana nimemsikia Mbunge wa Ulanga akimjibu Mh.Mbowe Eti CCM inatumia Mpango Mkakati kutekeleza Ilani yake.Nadhani uwezo wa kupambanua mambo wa Mbunge wa Ulanga ni mdogo sana.Mbuge wa Ulanga nadhani hajui kuwa Ilani ya CCM haikuandaliwa Kwa kuzingatia Bajeti ya Nchi. Ilani ya CCM miaka yote...
  20. E

    Mh.Rais Magufuli, CAG kakuonyesha majipu tumbua baba tena maneno matatu "Tu-mbu-a"

    Mh.Rais Nadhani CAG ametuweka wazi Juu ya Ubadhirifu Na Wizi au Ufisadi mkubwa unaofanya katika Nchi Yetu.Nadhani sasa ni wakati wa kuwafuatilia wote waliotajwa na CAG kuchukuliwa hatua za kisheria mkuu.Tunakuomba Uwatumbue .Maneno ni matatu nayo ni "TU- MBU-A
Back
Top Bottom