Search results

  1. Hardbody

    Nisaidieni kwa hili

    Mzee uliishia wapi kwenye kale ka pRoject ketu ka mazoezi na kuachana na wanawake?? 😂 https://www.jamiiforums.com/threads/nataka-niachane-na-wanawake-nisifanye-mapenzi-tena.2156052/unread
  2. Hardbody

    Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Kwani wao hawana kabisa uwezo kuadapt mwanaume wake alivyo? Kama ndivyo basi hakuna haja unachokisema.
  3. Hardbody

    Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    Kuna dhana pia kwamba masonic wengi ni Israelis, je hii ni kweli?
  4. Hardbody

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kwani b4 we ulikuwa hujui outcomes bro? Ichunguze AKILI yako once again!
  5. Hardbody

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    2. Unless otherwise akubali kuidamp timu moja wapo
  6. Hardbody

    The decision has been made by Israel to attack Iran

    Umempiga na kitu kizito sana kwa hili jibu lako 😂
  7. Hardbody

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Kwa tuliosoma history ya WW1 na WW2 tunaona kabisa kila dalili ipo ya kuchapana hapa. World War 3 inanukia
  8. Hardbody

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Mkuu next time nikumbushe niagize na mimi
  9. Hardbody

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

    Mwanamke hajawahi kueleweka anataka nini hasa, labda mwisho wa dunia ndio tutaelewa
  10. Hardbody

    KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Yeah nina experience nayo nimewahi practice kwa mda fulani and it works. Cha kufanya ni hivi unatakiwa ubane pumzi then uwe una release taratibu sana yaani kiasi mtu akikuangalia ahisi kama haupumui hivi. Ukizoea hivi utakuwa ni mtu wa ku last mda mrefu sana on bed
  11. Hardbody

    Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

    Vipi zina utamu kwanza?
  12. Hardbody

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Hivi Yerriko Nyerere ana uhusiano na Mwl Nyerere au ni majina tu kama Steve nyenyere
  13. Hardbody

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Huna elimu ya jinsi hiyo 15mil itakavokutoa ryt?
  14. Hardbody

    TV4Sale Original LG Tv inauzwa (used)

    Vipi bei iko ngapi sahivi mkuu?
Back
Top Bottom