Search results

  1. Liwagu

    Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

    Habari JF, life it's too short guys. Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza. Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana. Doctor Slaa anakwenda mbele...
  2. Liwagu

    Magufuli bus terminal mashimo yana tope, mabasi yanaingia kwa tabu

    Sina haja ya kuongea sana heading inatosha. Wahusika fanyeni marekebisho haraka hapo katika eneo la kuingilia stand kama unatokea mail Moja. Niaibu stand ya kimataifa kuwa katika hali kama hiyo, mwenye picha anaweza kutupia. Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
  3. Liwagu

    Wanawake mna roho ngumu sana

    Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana. Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??. Wajanja...
  4. Liwagu

    Hayati Magufuli alituonesha kazi ya Urais si nyepesi na si kila mtu anaweza kuwa Rais

    Nikumbukumbu ya siku mbaya sana hii kwenye maisha yangu na kwa waTanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao na sitaisahau. Mtanzania yoyote mwenye akili na mzalendo anaelewa maumivu ya kumpoteza shujaa Magufuli jinsi yalivyo kuwa tarehe 17 march. Nilipata faraja sana kuona Nchi yangu inapata...
  5. Liwagu

    Hichi ni kisirani ama nini?

    Heri ya mwaka mpya wakuu. Hakuna muda wakupoteza mwaka bado mpya sana!. Moja kwa Moja kwenye mada. Kunakitu nimekiona sehemu jana na kimezua utata mkubwa sana kiasi cha kutishia mahusiano ya familia. Jamaa mkewake amefiwa na babayake mdogo, alafu taarifa akapewa mkewake na nduguzake, then...
  6. Liwagu

    Mpaka hapa tulipo,US ndio taifa linaloogopeka Duniani

    Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu. Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza...
  7. Liwagu

    Badala ya kupeleka majeshi Goma, viongozi wa EAC wangeitisha kikao cha dharura

    Jana niliona taarifa Kenya wamepeleka wanajeshi 900 kulinda amani Goma. Hivi Congo kunauhitaji wa majeshi ya kulinda amani ama mazungumzo. Mbaka sasa Congo kuna majeshi yanayo linda amani miakayote, lakini bado mapiganao yanaendelea. Nikitugani hasa kinacho washinda kuzuiya fujo na vita kwenye...
  8. Liwagu

    Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

    Hayati Magu miaka mitano kama 15. Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10. Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya. 1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani...
  9. Liwagu

    Nimekutana na laana ya dunia

    Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni. Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
  10. Liwagu

    Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

    Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap. Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa nashindwa tu kusema. Nikamwambia ndio ivyo sina kitu akasema atazamini pambano ila leo lazima...
  11. Liwagu

    Wasomi acheni kulialia saizi bora mkae kimya

    Maprofesa wasomi wetu kwanini mnalialia. Nime wasikia ma pro, wakikosoa baadhi ya miradi iliyo anzishwa na hayati Magufuli. Wengine wanaponda bwawa la umeme wakisema lakizamani, wengine wanaponda, manunuzi ya ndege nk, nk, ilimradi wasikike. Swalihapa mbona wakati rais Magufuli alipokuwa hai...
  12. Liwagu

    Covid-19 ikiisha dunia itaanza moja

    Kwa haraka haraka tumejifunza mengi na tunaendelea kujifunza. Siasa za nje Nchi zitabadili sera zao za mambo ya nje. Ubabe ubabe wa kijinga utapoa. Tumeshajifunza kwamba kuna majanga fulani yakitokea kunakuwa hakuna mmbabe. Wote tutahitaji msaada kwa wengine. Kwenye siasa za ndani Nchi hasa za...
  13. Liwagu

    Mbona sioni taarifa za madhara ya mvua

    Tumekuwa tukipata taarifa za madhara yanayo sababishwa na mvua kama hizi. Hapa Dar mvua inanyesha tangia juzi usiku, jana mchana kutwa lakini sijaona popote taarifa ya uharibifu uliosababishwa na mvua. Ama watu wako bize na Pasaka?. Ama wanaogopa maambukizi ya Covid-19. Je, hawa virus wa...
  14. Liwagu

    WHO slams scientists for Africa vaccine testing notion

    Mkuu wa WHO alaani baadhi ya wanasayansi kupendekeza chanjo ifanyike Africa. ------- The head of the World Health Organization (WHO) condemned on Monday in the "strongest possible terms" two French scientists who suggested Africa be used as a testing ground for a vaccine against the novel...
  15. Liwagu

    Hali ni mbaya kwa wakimbizi wanaotoka Syria kwenye mpaka wa Ugiriki

    Mamia ya watu wanaokimbia vita kutoka Syria wamekwama katika mpaka wa Ugiriki walipokuwa wakitokea Uturuki kuelekea Ulaya. Uturuki walifungua mpakawake juzi na kuruhusu wakimbizi kutoka Syria wapite katika nchi hiyo kuelekea Ulaya. Uturuki imesema, Ulaya lazima waonje shubiri ya wimbi hilo...
  16. Liwagu

    Wasouth Africa wanatembeza Mkong'oto kwa Foreigners ...!!

    Hivi serikali yao imeshindwa kuzuia hao wanaoitwa wahuni???? Kama hawawezi kuwachukulia hatua then they don't deserve to be part of SADEC community. Shame on them.
  17. Liwagu

    Je, wanaume tungependa kuwa na mke aina gani kati ya hawa

    Ok, mambo siomengi. 1, Niyule anaejali familia yake kwa 80%?. Yani ambae mkipata / ukipata kipato unapo mpapesa ya ziada anaitunza na kuwaza kutatua matatizo yake mwenyewe na familia yake yani kujiremba kusuka nk, ama kununulia watoto nguo na mambo mengine ambayo ataona siolazima kumwambia...
  18. Liwagu

    I wish Agrey Mwanri angekuwa hapa dar.

    Stand za daladala zimegeuka soko, watu wanauza kilakitu kila mahali,mbegu za maboga, korosho, nguo na vitu kibao. Msimbazi hakuna pedestrian, vituvime zagaa kila mahali. Probably huyu angewafyekelea mbali na hakuna mmachinga ambae angejaribu kujikuna. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Liwagu

    US wameshindwa kuwazuia Irani?.

    Iran: US has failed to stop oil exports Rouhan, anasema wataendelea kusafirisha mafuta kama kawaida mana Us hawata wazuia kwa kuwa kuna nchi nyingitu haziungi mkono maamuzi ya vikwazo ispokuwa Israel na wengine wachache. My take, kuna harufu ya US kufyata mkia this round.
  20. Liwagu

    Team Putin oneni haya malala miko.

    PressTV-Russia warns US against any new sanctions Msomeni huyo mzee anavyo lalamika kwamba us wakiwawekea vikwazo tena wata yumbisha mahusiano yao. Who's US.
Back
Top Bottom