Search results

  1. trouble maker

    Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

    kama itakusumbua sana bro nitafute tuongee biashara niaweza kukuandikia iyo kazi mapema na kuimaliza haraka ipasavyo ni pm tupeane kazi @ Capitrait
  2. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    kila kitu uja kwa wakati wake ko tulia kama unaona alikuhusu
  3. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    msikilize mkuu hapa labda utapata kitu kidogo Chaliifrancisco
  4. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    hapana katikati ya uchafu lazima kiwepo kisafi kimoja na lengo la uzi huu ni ku waasa mabinti wasije chezea utu wako kwa wbabaishaji na maani kunawanao jielewa na walio lelewa kwenye maadili na kujua nini maana ya bikra zao kwa mumewe
  5. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    :eek::oops::oops: :mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::rolleyes:o_Oo_Oo_O mungu anakuona
  6. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    sasa ninge toa maada ya nini kama mimi siyo mmoja wao naeleza kitu ninacho kielewa
  7. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    ukitaka pema na wewe jifunze kuwa mwema kila mtu upa wa kufanana nae ukiw muovu na wewe utapa viovu na ukiwa mwema utapata mema nazani nime eleweka
  8. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    nani kakwambia dhambi ni roho wabaya kama ujajua mtoto anapo anadaliwa uandaliwa na kila kitu kutoka kwa wazazi wake ivyo kama kuna ubaya wowote uliopo kwa wazazi mtoto uendelea kukua nao mpaka atakapo zariwa ndiyo maana kwa ndugu zetu wa kristo wanaambiwa ni muuhimu kumbatiza mtoto ila...
  9. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    mwanamke ndo kiumbe peke aliyepewa majukuma na mwenyezi mungu ya kuijenga ndoa yake maana mwanamke mjinga uvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe usafi na kujiheshimu ndo misingi ya ndoa bora sababu wewe ndo mjenzi na yeye ndo msingi wa familia ivyo ukianza ujenzi vibaya basi tarajia nyumba...
  10. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    mwanamke msafi na mwenye kujitambua siyo lazima umpime kila kitu kitajionesha kwanza lazima atakuawa tofuti na wengine kuanzia muonekano mpaka tabia
  11. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    uachagi tu uvivu wako embu kaa usome itakusaidi sawa
  12. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    kwakweli tuendelee kuelewana maana ya mungu mengi
  13. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    ya mungu mengi maisha ya kipindi iki strees tu mungu ashushe malaika ndo tuowe
  14. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    hii itakuwa inakuhusu je nawasiwasi na wewe Joanah
  15. trouble maker

    Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    CHUNGU LAKINI DAWA Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali. Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari. Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
  16. trouble maker

    Nahitaji AutoCAD 2019 software

    ipo iyo full set up
  17. trouble maker

    Kila mtu amekuwa mtaalamu wa computer!

    samahani ninaweza pata mwasiliano yako
Back
Top Bottom