Search results

  1. Asclepius

    Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

    Kama anatumia dawa vizuri na mechi zako sio rafu sana basi ni inawezekana usiupate
  2. Asclepius

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Picha haioneshi vizuri ila kama haviwashi wala kutoa maji vinaweza kua vipele vya kawaida tu either kutokana na joto au kubadili mazingira
  3. Asclepius

    MIFI vs Router kwa matumizi ya nyumbani

    Hivi na bando zinakuaje per month internet?
  4. Asclepius

    Wazungu hatuwawezi na hatutowaweza

    Dunia ya Mungu vitu vya mzungu tukubali tu
  5. Asclepius

    MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

    Binadamu tuna shida gani hivi??
  6. Asclepius

    Mbegu za michongoma

    Huu uzi hizi mbegu nazihitaji nazipata vipi wakuu?? Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Asclepius

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Njia kuu ni upasuaji kuondoa uvimbe Nenda hospitali watajua zaidi jinsi ya kukusaidia
  8. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Umri wako ni upi?? Ni matatizo mengi yanayoweza kuleta hilo tatizo pombe umri magonjwa kansa ni mifano tu ila kujua haswa ni vema uende hospitali Na kuhusu uzazi ndio usipotibiwa ilatela shida kidogo kwenye uzazi na uanaume wako pia kwa ujumla ko ni vema kwenda hospitali
  9. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nenda hospitali tatizo lako linaweza kua ni la akili ( psychological) au mwili ila ni vema kwenda hospitali ijulikane yupi anamsababisha mwenzake
  10. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi
  11. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Kuhusu pombe sifahamu ila sio busara kunywa pombe na dawa unauongezea mzigo ini na figo ko zinaweza dhurika kwa namba moja ama nyingine Kuhusu kunenepa ni kweli baadhi ya dawa hua zinasababisha kunenepa Madhara kwenye seli za mwilini sio kama ambavyo virusi vingefanya Dawa kuwakataa watu hiyo ni...
  12. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mpelekeni hospitali kwa ufumbuzi zaidi ila ni matatizo mengi sana yanayoweza sababisha hali kama hiyo vidonda vya tumbo hapana
  13. Asclepius

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Kama haijatokana na kuumia au vidonda inaweza kua upungufu wa vitamini c ko kapate vidonge vya vitamin c na kula matunda sana
  14. Asclepius

    Bima ya afya(NHIF) ahadi nyingi, utekelezaji sifuri

    Ndo matatizo ya mambo ya afya ukiingizia siasa zamani nhif ilikua nkombozi wa watu ila sahv daah
  15. Asclepius

    Hua unatulizaje Hasira.??

    Ndio ndio mkuu Marehemu katuachia urithi bora kabisa
  16. Asclepius

    Hua unatulizaje Hasira.??

    Ndesamburo katuachia kvant inatoa sana stress aisee
Back
Top Bottom